Yanga tumekosa nini?

Yanga tumekosa nini?

Rejea uzi wa jana usiku hapa kuhusu kupendelewa mnyama na yanga kufanyiwa hujuma za wazi na uonevu,
Sasa mliokua mnapinga nadhani mmeona yaliyotokea mchezo wa leo dhidi ya polisi.na kile ndio nilichokimaanisha na kimetokea.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Haka ka refa kumbe kajinga hivi? Mwanzo nilikuwa nakaamini kumbe hovyo. Makambo kafanya rafu gani hapo mpaka akatae goli na kumpa kadi?
 
Haka ka refa kumbe kajinga hivi? Mwanzo nilikuwa nakaamini kumbe hovyo. Makambo kafanya rafu gani hapo mpaka akatae goli na kumpa kadi?
Ile Kadi nimejiuliza sana ilikuwa ya nini, ile penati kabisa jamaa kashika refa kakausha
 
FC Kinye acheni Lawama...kushinda mshinde nyie Na Lawama mtoe nyie...!

Embu jifunzeni Kwa Mnyama ..! Mnyama hana time Na Kulalama huwa anaangalia Wapi kajikwaa halafu anasonga mbele Yaani Nguvu Moja..!
Atalalamika vp ikiwa ni mnufaika wa uonezi

Anapo kandamizwa yanga ni nafuu kwa nyau alafu Bado wataka sema nyau alalamike tena
 
Yanga kwa kulalamika wanashika namba moja Africa na hapo wameifunga simba na kuchukua makombe,
Yanga isikataliwe goli la offside
Yanga wasiadhibiwe wakifanya fouls
Yanga wasipewe kadi hata mchezaji mmoja

Ina maana hakuna mechi yanga iliyopendelewa kwa kupewa goli na mwamuzi au mnajitoa ufahamu yaani mlitaka mpaka kwenda ikulu hapo mshajijengea akilini mkikosa ubingwa mumlaumu karia na tff yake anawaonea.
 
Ile Kadi nimejiuliza sana ilikuwa ya nini, ile penati kabisa jamaa kashika refa kakausha
Sasa ingekua simba haraka sana angeweka tuta

Wamembeba Mpole ili Mayele akose kiatu...

Sasa Mpole game 2 za taifa Chan ameshindwa kutikisa nyavu akapelekwa benchi game zote mbili na wasomali....Mpole huyu huyu aliyekua akitupia kila mechi!

Jamani Mayele ni Mayele tu ..yaaani sijui kwanini hawapendi kumuona akifunga

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Rejea uzi wa jana usiku hapa kuhusu kupendelewa mnyama na yanga kufanyiwa hujuma za wazi na uonevu,
Sasa mliokua mnapinga nadhani mmeona yaliyotokea mchezo wa leo dhidi ya polisi.na kile ndio nilichokimaanisha na kimetokea.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Tatizo ni udogo wenu ndio unafanya muone mnaonewa.

Simba hizo mbona huwa nyingi tu na hutasikia wanalalamika kuonewa.

Yaani club mnashinda lakini hamna raha
 
Mimi hata sidhani kama Yanga anaonewa. Ila kinachonisikitisha ni kiwango kibovu cha Waamuzi.
Ligi inapoisha Chama cha Waamuzi nacho huwa kinakaa kufanya usajiri. Kinafanya masomo na mitihani ya Waamuzi. Lakini ni wajibu wa Waamuzi wenyewe pia kuchukua kanda za video na kuangalia walipokosea na walipofanya vizuri msimu uliopita. Pia wanatakiwa kuangalia Mechi zinazochezeshwa na Waamuzi wa kimataifa na kujifunza Mambo muhimu katika uamizi kama vile Anticipation, positioning, proper angle of view nk. Jana nimebahatika kuangalia Mechi 1 na Mechi ya juzi ya ufunguzi ya Mtibwa vs Ihefu. Timu zimesajili na Wachezaji wa zamani wamejifua na kuongeza viwango, lakini Waamuzi Wana kiwango kilekile cha msimu uliopita. Waamuzi waliochezesha Mechi ya Ihefu na Mtibwa walinithibitishia pasi Shaka yoyote kwamba tutaendelea kushuhudia malalamiko ya timu kuonewa kumbe ni viwango tu vya Waamuzi wavivu kujifunza. Waamuzi wasaidizi ndo vituko kabisa, kwenye Mechi ya Mbalali walifanya maamuzi ya offside ambayo hata Mtoto atacheka.
Tukija kwenye Mechi ya Jana Kayoko ni mwamuzi mkubwa na Beji ya FIFA kifuani. Lakini huwa sijui hawa Waamuzi wetu ukubwa wao wanataka wauthitisheje? Mechi ya Jana alikuwa na makosa madogo madogo mengi ambayo ni kweli anapaswa kulaumiwa. Kwa ujumla amechezesha kizamani mno, na si kwamba naongelea kaionea Yanga la hasha, Mimi naona kajionea yeye mwenyewe Kwa kujishusha hadhi. Mechi ambayo inaonyeshwa live mwamuzi unapaswa kuwa makini ili wanaokuona waseme hapa kuna Hakimu. Nitoe mfano goli alolokataa la Mayele, tatizo ni kutokwenda na Kasi ya mchezo alitegemea angle of view matokeo yake kaamua tukio Kwa kuangalia Nani kaanguka bila kuona kiuahalisia sababu ya kuanguka. Mwamuzi Msaidizi No.1 alikuwa kwenye nafasi nzuri zaidi na anaweza kutusaidia kusema. Hata kama hakuna VAR basi wawe na vifaa vya mawasiliano viwasaidie kuelekezana kuliko hizi lawama ambazo zimeanza mapema na ndo ligi iko hatua ya Kwanza hawajachoka.
 
Simba wanasifa zifuatavyoo.
1. Sio timu ya wananchi ni timu ya Afrika nzima
2. Pili hadi manara kachanganyikiwa alipokwenda Yanga anatukana tukana
tu
3. Simba tunawaza ligi za ulaya nyie za utani wajadi hebu kuweni na akili yule mirrison ni fala kwa akili kama zake hata hajui kama ni mwanaume rijali yule ni mbwa .
Nanishoga tu hajitambui.
Nakachukiaga kahanisi. Yupo tu kama manara wote machizi tu.
Wamefetuka akili siku mingi.
Yanga ifikie muda mukue
 
Back
Top Bottom