ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Haka ka refa kumbe kajinga hivi? Mwanzo nilikuwa nakaamini kumbe hovyo. Makambo kafanya rafu gani hapo mpaka akatae goli na kumpa kadi?Rejea uzi wa jana usiku hapa kuhusu kupendelewa mnyama na yanga kufanyiwa hujuma za wazi na uonevu,
Sasa mliokua mnapinga nadhani mmeona yaliyotokea mchezo wa leo dhidi ya polisi.na kile ndio nilichokimaanisha na kimetokea.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mnyama wa buza 😂😂FC Kinye acheni Lawama...kushinda mshinde nyie Na Lawama mtoe nyie...!
Embu jifunzeni Kwa Mnyama ..! Mnyama hana time Na Kulalama huwa anaangalia Wapi kajikwaa halafu anasonga mbele Yaani Nguvu Moja..!
Ile Kadi nimejiuliza sana ilikuwa ya nini, ile penati kabisa jamaa kashika refa kakaushaHaka ka refa kumbe kajinga hivi? Mwanzo nilikuwa nakaamini kumbe hovyo. Makambo kafanya rafu gani hapo mpaka akatae goli na kumpa kadi?
Atalalamika vp ikiwa ni mnufaika wa uoneziFC Kinye acheni Lawama...kushinda mshinde nyie Na Lawama mtoe nyie...!
Embu jifunzeni Kwa Mnyama ..! Mnyama hana time Na Kulalama huwa anaangalia Wapi kajikwaa halafu anasonga mbele Yaani Nguvu Moja..!
Sasa ingekua simba haraka sana angeweka tutaIle Kadi nimejiuliza sana ilikuwa ya nini, ile penati kabisa jamaa kashika refa kakausha
Tatizo ni udogo wenu ndio unafanya muone mnaonewa.Rejea uzi wa jana usiku hapa kuhusu kupendelewa mnyama na yanga kufanyiwa hujuma za wazi na uonevu,
Sasa mliokua mnapinga nadhani mmeona yaliyotokea mchezo wa leo dhidi ya polisi.na kile ndio nilichokimaanisha na kimetokea.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app