Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo wanayoyataka. waswahili wanasema "ISIYO KONGWE HAIVUSHI" sisi tumeeendelea kubaki na porojo na siasa za kimpira Simba wakiendelea kuibadilisha team yao kwenda na Mfumo wa Dunia kisoka. inawezekana hawajafika mwisho lakini allahamdulilah tunaona mafanikio makubwa.
Mimi nimekuwa mwanayanga ambaye kuna kipindi na kuwa mshabiki na kuna kipindi na kuwa mwanamichezo. leo nimemua kuwa mwanamichezo kuweka unafiki pembeni na kubaki na akili zangu timamu. mimi ni msomi wa kiwango kizuri. si haba kuwa na masters ya sheria. hivyo kuna kipindi nakataa kutumia sehemu nyingine ya kiungo kufikiria. narudi kwenye kiungo sahihi cha kutumika kufikiria. UBONGO. Simba walionesha na wanaendelea kuonesha Utulivu mkubwa sana katika soka.
Miaka ya nyuma mngesikia kuna vurugu na maneno kwa kufungwa na Yanga. miaka hii hiyo hali inaanza kutoweka. Simba wanasema kama walifungwa na T prisons ,walifungwa na Ruvu why iwe ajabu kufungwa na Yanga? na ni Simba hawa waliowafunga Al Ahly, AS Vita na Kazier Chiefs hapa DSM. sasa hawaoni kama Yanga ndiyo kipimo chao kwa kuwa Ruvu waliifunga Simba lakini je wana kitu gani zaidi ya ushindi huo?na je walipata points ngapi za ziada? wanasema hata wao wakiifunga yanga wanapata points ngapi za ziada?
Mimi nawaelewa simba wanajitoa kwenye kuwa washindani wa yanga. wanaangalia mbali zaidi. kuwa yanga ipo na team ambayo inastahil ia kushinda lakini pia simba kufungwa na yanga ni kama kufungwa na ruvu na tprisons. hu ndo mpira . huwezi sikia Liverpool wansherehekea kwa kumfunga Man United. Au Man City wanazunguka Mtaani kushangilia kumfunga Man United au kuna sherehe kubwa kwa Barca kumfunga Real Madrid. imebaki kuwa ni team zenye mashabiki wengi lakini wanaamini match ina matokeo matatu.
Nadhani kama simba pia itaweza pata msemaji msomi kwa ajili ya klabu itakuwa vyema na si huyu wa sasa ambaye wakati mwingine anaharibu image ya klabu. aendelee kuwa mchambaji wa yanga kama hiyo nafasi ni muhimu lakini apatikane mtu mwenye akili na uwezo mzuri kama magori huyu ni kichwa sana kwa kweli.
Niliwaambia wanayanga wenzangu simba wanaenda pole pole wakijua wanachofanya. wakati huo tukitamba kuwa ni unbeaten wimbo ambao ulikomeshwa na tukaanza kuvurugana. jamaa wamechukua kombe wakiwa na matches mbili mkononi. wameshazoea ubingwa. sisi tunashangilia kuifunga simba mpaka hii leo.