Yanga tumepewa heshima tuliyoililia

Yanga tumepewa heshima tuliyoililia

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
146
Reaction score
212
Kila kitu kimekuwa kibaya gafla mitaa ya jagwani na watu wengi wakiangaika kutafuta mbuzi wa kafara, mara kocha kawai kufutwa kazi mara simba wanacheza mechi zetu mara wachezaji awajitumi, wameridhika n.k

Lakini hawajui, hiki ndicho kinawatafuna yanga, msimu ulioisha tumeshuhudia yanga ikiwa ya moto muda wote wanapumulia mlangoni, na hiyo imekuja baada ya timu nyingi kwa msimu ulioisha hawakuwa wakituheshimu kwa kutupa heshima tulio stahiri na ubora wa wachezaji wetu, hii ikawa inawakosti wao na hatupaswa kufungua hii code ingebaki hivi hivi wakigutuka miaka kumi

Msimu huu yanga tukaanza kwa kujinyoonga wenyewe na kutoa code, kwa kuomba heshima yetu wakati ilipaswa kusubiri tupewe, timu zikatupa heshima yetu kwa kupaki basi kisha kujibu mapigo kwa kaunta attack,
Na sasa Dar Young Africa imekwenda mechi 3 kwa mfululizo wa vipigo

Nasemaje tumepewa heshima tulio ililia wenyewe😭
 
IMG-20241127-WA0027.jpg
 
Back
Top Bottom