mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Ulikua umelewaNikweli tumepata ushindi, lakini ukiangaliaa namna huyu Kocha wetu Folz alipanga timu , na namna alivyofanya substitution zake , ni wazi HAJUI kitu anafanya ..Aziz andambwile alikuwa chanzo cha matatizo mengi ya Yanga sc, na kama isingekuwa ubora wa diarra tungekuwa matatizoni..
AZIZ andambwile ni mzito sana, passing yake ni mbovu pia , lakini cha zaidi jamaa hatembei eneo kubwa la uwanja na anaganda tu kama pumbu ..pili timu ilikuwa inacheza bila mpango hasa kipindi cha kwanza , yote sababu ya andambwile..Kocha arudi nyuma ajitafakari tofauti na hivyo simuoni akifika November. Andambwile sio CAF champion league material, nakataaa katakata
Kuna mechi ya umuhimu tarehe 19 ya klabu bingwa pengine kocha kaamua ku save energy kwaajili ya hiyo mechi. Simba wao ratiba yao imekaa vizuri ya kupumzika hadi tarehe 21.Andambwile amejitahidi, nafikrii ni game yake ya kwanza ngumu kucheza eneo lile. Nafkiri kocha alipaswa kufkiria wa kuanza nae kati ya Mudathir na Doumbia na Dube na Mzize.
Kati ya Mzize au Doumbia mmoja angeanza, huenda game ingeisha kipindi cha kwanza.
Anaitwa Aziz Anda(b)wile Mwambalaswa... Sio AndambwileNikweli tumepata ushindi, lakini ukiangaliaa namna huyu Kocha wetu Folz alipanga timu , na namna alivyofanya substitution zake , ni wazi HAJUI kitu anafanya ..Aziz Andambwile alikuwa chanzo cha matatizo mengi ya Yanga sc, na kama isingekuwa ubora wa diarra tungekuwa matatizoni..
AZIZ Andambwile ni mzito sana, passing yake ni mbovu pia , lakini cha zaidi jamaa hatembei eneo kubwa la uwanja na anaganda tu kama pumbu ..pili timu ilikuwa inacheza bila mpango hasa kipindi cha kwanza , yote sababu ya andambwile..Kocha arudi nyuma ajitafakari tofauti na hivyo simuoni akifika November. Andambwile sio CAF champion league material, nakataaa katakata
Karudia hiyo gem umcheki jamaa anavyokabia macho, angalia kibu Denis akati anaenda kukutana na diarra , jamaa ameshindwa hata ku obstract, anamsindikiza, nyingi za hivyo zimetokea, nafikiri wengi wenu mapenzi ya timu yamewapa upofuHujui ukisemacho
Huyo ameshapoteza, anafanya kazi kubwa ila zao lake la mwisho ni bovu sanaaMudathir Yahya Abbas akaze msuli. Kwa hali ya ushindani ilivyo pale nyuma, asipokuwa makini atapoteza namba kwenye kikosi cha kwanza.