Yanga tumeshinda ila kwa Aziz Adambwile kocha umetudanganya

Kwenye mpira unaweza kushinda au kufungwa huku ukiwa na performance bora ama performance mbovu ama performance ya kawaida. Yanga jana ilicheza kwa kipindi kuna muda timu ilikuwa active halafu kuna muda ilipoteana ni ishu ndogo tu ya kuweka sawa upande wa kiungo. Kama itapatikana muarobaini wa hili timu itakaa sawa. Kwenye kuanza kila kocha ana mwanzo wake Gamondi alianza kwa performance nzuri ila hakupata matokeo ila huyu kaanza na matokeo mazuri. Tumpe muda kabla ya kumuhukumu
Wabongo tunajua sana kulalama, tunasahau kwamba Gamond ameichukua timu ikiwa na foundation ya NABI. Dogo kachukua timu ikiwa imetoka katika mikono ya makocha wasiopungua wawili.

Upo sahihi, dogo apewe muda kwanza. Mbivu na mbichi vitajitenga tu, so far sijaona makosa yake makubwa.

Timu ina viungo wapya pale kati isipokuaa Mudathir. Mbele pia kuna mabadiliko kiasi.
 
Hakuna Kocha pale , lile ni tapeli
 
NARUDIA TENA AZIZ ANDAMBWILE HAKUNA MCHEZAJI NI TAKATAKA
MM nishasema sana hapa mido inacheza square pass muda wote, hana dribbling hapa yakuzuga yupo mkavu kama mti, Hana pass hata moja ya kuvunja mistar, hawez force hata kidogo

Aziz ni takataka
 
KUNA WATU WALIKAZA SANA FUVU HUMU , NAKUJIFANYA WANALIJUA BALL
 
Back
Top Bottom