duh mku kama umefufua kaburi. ila nadhani muda ni mwalimu mzuri. nadhani tuwape muda hawa watu na kocha.Huu uzi ufutwe
Wote mnaobisha humu mnapenda timu na sio mpira, huyo andambwile amepita na upepo tu , ila akijichanganya kwa waangola akamuweka lazima tuchezee chuma za kutosha
Wabongo tunajua sana kulalama, tunasahau kwamba Gamond ameichukua timu ikiwa na foundation ya NABI. Dogo kachukua timu ikiwa imetoka katika mikono ya makocha wasiopungua wawili.Kwenye mpira unaweza kushinda au kufungwa huku ukiwa na performance bora ama performance mbovu ama performance ya kawaida. Yanga jana ilicheza kwa kipindi kuna muda timu ilikuwa active halafu kuna muda ilipoteana ni ishu ndogo tu ya kuweka sawa upande wa kiungo. Kama itapatikana muarobaini wa hili timu itakaa sawa. Kwenye kuanza kila kocha ana mwanzo wake Gamondi alianza kwa performance nzuri ila hakupata matokeo ila huyu kaanza na matokeo mazuri. Tumpe muda kabla ya kumuhukumu
Amethibitisha kwanini anajiita Mwehu Ndama.Ndugu mwandishi wa habari, una lolote la kusema baada ya game ya waangola?
Au sioHuu uzi ufutwe
Nyie mnalipi la kusema sasa?Amethibitisha kwanini anajiita Mwehu Ndama.
Hakuna Kocha pale , lile ni tapeliWabongo tunajua sana kulalama, tunasahau kwamba Gamond ameichukua timu ikiwa na foundation ya NABI. Dogo kachukua timu ikiwa imetoka katika mikono ya makocha wasiopungua wawili.
Upo sahihi, dogo apewe muda kwanza. Mbivu na mbichi vitajitenga tu, so far sijaona makosa yake makubwa.
Timu ina viungo wapya pale kati isipokuaa Mudathir. Mbele pia kuna mabadiliko kiasi.
Hakuna Kocha paleeeYasije kukupata kama ya Mwasibu
Sawaa boss, ila hakuna Kocha paleAmethibitisha kwanini anajiita Mwehu Ndama.
Ana sifa za kuwa beki sio kiungo.Mimi nilimuona huyo Kocha wenu mapemaa, na narudia Aziz adambwile nae ni tapeli
Vipi Uzi ufutwee?Huu uzi ufutwe
MM nishasema sana hapa mido inacheza square pass muda wote, hana dribbling hapa yakuzuga yupo mkavu kama mti, Hana pass hata moja ya kuvunja mistar, hawez force hata kidogoNARUDIA TENA AZIZ ANDAMBWILE HAKUNA MCHEZAJI NI TAKATAKA
KUNA WATU WALIKAZA SANA FUVU HUMU , NAKUJIFANYA WANALIJUA BALLMM nishasema sana hapa mido inacheza square pass muda wote, hana dribbling hapa yakuzuga yupo mkavu kama mti, Hana pass hata moja ya kuvunja mistar, hawez force hata kidogo
Aziz ni takataka