Yanga tumeuza jezi milioni 1 ndani ya siku moja, lakini wanaoingia uwanjani ni 5% tu wenye jezi mpya

Yanga tumeuza jezi milioni 1 ndani ya siku moja, lakini wanaoingia uwanjani ni 5% tu wenye jezi mpya

Umeanza lini kufuatilia soka?! Ingekuwa watu wananunua jezi exclusively kwa ajili ya kuvaa uwanjani basi jezi za timu za nje zisingeuzika! Hivi hata Makorokoro FC wanapocheza, unataka kusema wote wanaoingia uwanjani wanakuwa wamevaa jezi zenye picha za Da Barbara?! Ina maana hujui kuna Makorokoro kibao wanakuwa mtaani na hawajawahi kuingia taifa lakini bado wamenunua jezi!

Mutabadilisha kila maneno lakini hakuna Mtu anayeweza Kununua Jezi mpya halafu siku ya Wananchi au Simba Day akaiwacha Nyumbani. Never! Kilichoonekana Jana ndiyo kielelezo cha Uhalisia. Umesikia Utoboy?
 
Kwani umeambiwa jezi hizo 1m zimeuzwa Dar?au ni TANZANIA nzima?kwani unadhani kununua jezi ndio sababu ya mtu kwenda uwanjani?
60,000/1,000,000×100%=6%

Assumption:All factors are kept constant.

Kwa hio 6% iliyohudhuria Jana pale Taifa ilishindwa hata kuvaa jezi angalau kwa 3% tu,yaani watu 30,000.
 
Mutabadilisha kila maneno lakini hakuna Mtu anayeweza Kununua Jezi mpya halafu siku ya Wananchi au Simba Day akaiwacha Nyumbani. Never! Kilichoonekana Jana ndiyo kielelezo cha Uhalisia. Umesikia Utoboy?
Kwahiyo wanaonunua jezi wote wanaenda kuangalia mpira?
 
Punguza ujinga wewe uwanja wa mkapa unauwezo wa kubeba watu milioni moja?na haya hivyo sio dar sinauzwa jenzi mzee
Wapi nimeandika uwanja Una beba watu Milioni moja we Sukule? Mmesema jezi Milioni ziliuzwa Ndani ya masaa 6 SASA mbna hata Uwanjani hatuoni hizo jezi, uwanja Una beba watu elfu 60 na usher we Sukule.
 
Mmekuja kupost kwa jaziba kweli, poleni sana tutafika tu.
 
Sasa inashindikana nini kwani wote walonunua jezi wana access ya kufika uwanja Wa taifa? Nje ya Dar jezi zimeuzwa nyingi tu
 
Kama asilimia 5 ni sawa maaana. 5/100X1000,000=50,000 na capacity ya uwanja ni 60.000 kwa hyo pungufu ni 10,000
Wamejitahid mechi ya Wanigeria watavaa wote
 
Kama asilimia 5 ni sawa maaana. 5/100X1000,000=50,000 na capacity ya uwanja ni 60.000 kwa hyo pungufu ni 10,000
Wamejitahid mechi ya Wanigeria watavaa wote
Nimesema walioingia Uwanjani, ambao Una beba elfu 60, ni Asilimia 5 tu ndo Wana Jezi
JamiiForums-97918936.jpg
 
Kwahiyo wanaonunua jezi wote wanaenda kuangalia mpira?

Kwahiyo Washabiki na Wanachama wa Yanga wanaoisapoti Timu uwanjani wanashindwa kununua Jezi Mpya lakini Plastic Fans wasioweza hata kwenda Uwanjani kuisapoti Timu yao ndiyo Wanaonunua Jezi Mpya au?
 
Punguza ujinga wewe uwanja wa mkapa unauwezo wa kubeba watu milioni moja?na haya hivyo sio dar sinauzwa jenzi mzee

Uwanja mzima unabeba Watu 60,0000
Kwahiyo unataka kutwambia katika Jezi 1M ziliozwa Dar hazikufika hata 60K?

Aliyekulipia ADA amepigwa mchana kweupe.
 
Sasa inashindikana nini kwani wote walonunua jezi wana access ya kufika uwanja Wa taifa? Nje ya Dar jezi zimeuzwa nyingi tu

Uwanja mzima unabeba Watu 60,0000
Kwahiyo unataka kutwambia katika Jezi 1M, ziliozwa Dar hazikufika hata 60K?

Aliyekulipia ADA amepigwa mchana kweupe.
 
Mlikuwa mnamdanganya Nani?

Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?

Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
Wameuza nchi nzima sio dar tu.
 
Alie toa huu uzi mabega yake yanachoka bila sababu kubeba kichwa
 
Back
Top Bottom