Yanga tumrudishe Zahera kikosini

Yanga tumrudishe Zahera kikosini

Alishanyea kambi huyo! hivyo hatokuja tena kupata nafasi katika maisha yake, ya kuja kuifundisha timu ya Wananchi.
 
Anzisha timu then Zahera yupo available kabisa utampata,we wachezaji aliokuja nao Zahera na kuwasajili msimu huu uliwaona au game plan ya Zahera ulikuwa unaona timu inachokifanya?

Kisa Zahera alikuwa anatoa hela zake ndiyo abaki tu hata kama ubora hauonekani uwanjani?

Bora tuwe hata wa kumi,ila Zahera aliishiwa pumzi kabisa
Kwani hii Yanga ni yanani kwa sasa? acha pumba
 
Huenda nikaambulia matusi lakini huo ndio ukweli wenyewe. Ni vigumu Sana kumpata kocha mwenye kiwango cha Zahera ambae anafundisha national team ya taifa ambalo liko mbele kwenye mpira kuliko Tanzania. Congo sio wajinga hata kidogo kumtumia Zahera kuifundisha timu Yao ya Taifa.

Makosa ya Zahera yanafahamika na yanavumilika. Uwezo wa Zahera kashauonyesha kwetu kuwa anaweza pamoja na kufundisha wachezaji waliokuwa na manung'uniko mengi ya fedha zao na stahiki zao mbalimbali.
National team ya taifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Mikia mchukueni nyie maana kishingo hasomeki.
Na hela zote hizi za GSM Zahera angetoa matokeo, niamini mm. Hivi uongozi wa Msolla utajivunia nn? Hata Yale mabadiliko yanasuasua
 
yaani mwinyi zahera alikuwa bonge la tapeli na kanjanja, huku akiwa kocha wetu aliwauzia 'ramani' zetu nyingi tuu simba ambazo nyingine adi leo zinatu cost, ebu tafuta interview ya beki kisiki Lamine Mo jinsi Zahera alivyo mtoa Zambia, kisha akamfikishia Simba kwanza kwenye majaribio simba walivyo mkataa akamleta ndiyo akamleta yanga tena akimshauri asaini mkataba mfupi, mengine huwa tunayaacha chini ya kapeti ……………..
 
Back
Top Bottom