Mkwasa ana issue gani?sawa lakini sio mkwasa
Kwani hii Yanga ni yanani kwa sasa? acha pumbaAnzisha timu then Zahera yupo available kabisa utampata,we wachezaji aliokuja nao Zahera na kuwasajili msimu huu uliwaona au game plan ya Zahera ulikuwa unaona timu inachokifanya?
Kisa Zahera alikuwa anatoa hela zake ndiyo abaki tu hata kama ubora hauonekani uwanjani?
Bora tuwe hata wa kumi,ila Zahera aliishiwa pumzi kabisa
YakwakoKwani hii Yanga ni yanani kwa sasa? acha pumba
National team ya taifa!Huenda nikaambulia matusi lakini huo ndio ukweli wenyewe. Ni vigumu Sana kumpata kocha mwenye kiwango cha Zahera ambae anafundisha national team ya taifa ambalo liko mbele kwenye mpira kuliko Tanzania. Congo sio wajinga hata kidogo kumtumia Zahera kuifundisha timu Yao ya Taifa.
Makosa ya Zahera yanafahamika na yanavumilika. Uwezo wa Zahera kashauonyesha kwetu kuwa anaweza pamoja na kufundisha wachezaji waliokuwa na manung'uniko mengi ya fedha zao na stahiki zao mbalimbali.
We Mikia mchukueni nyie maana kishingo hasomeki.Bado nasisitiza, Yanga mrudisheni Zahera kikosini mtapata matokeo, GSM zingatia hilo