Yanga tunae sniper (Azizi Ki) SIMBA mkimkamia MAX na PACOME mmekwisha, mtamtambua mdunguaji wetu

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Azam walimkamia MAX na PACOME hawakujua muuaji ni mdunguaji AZIZ KI kilichowakuta mnakijua, juzi mlivyocheza na ihefu jasusi GAMOND na benchi lake la ufundi walikuwepo uwanjani kta mkapa.

Awamu hii ni mwendo wa kukamua tu triger ko mkae kwa kutulia. Uzi tayari.
 
Bahati nzuri na Mbaya sana kocha wa yanga ataenda na Back 3
Job.
Mwamnyeto na
Baka.

Kama akienda na hawa watu maana yake yanga atakuwa salama kiulinzi.

Ila akiwaacha hawa mabeki yanga watafungwa mengi hasa mioira ya kichwa ngoma, kanute na Inonga..

Kama kocha ataenda na Back 3 maana yake pakome au Yao yao mmoja lazima akosekane..

KUPANGA NI KUCHAGUA.
 
Ngoja tuone itakuaje
 
Jasusi alipigiwa pila papatu papatu alotoka kwa Mkapa hajui ashike lipi so pira la simba hualina change kulingana na mpizan. Enyi utopolo nawaomba msiende uwanjani maana mnaenda kuona maafa
 
AZIZ KI ni threat sana kwa SIMBA
 
Simba imecheza na akina Kahraba na Perci Tau bila kuwakamia, eti omkamie Nzengeli? Mfumo utawakamia, wote watabadilika kuwa wakabaji
 
Huyo Njegele, Aziza na Pocono kule Tanga wakati Utopolo anapokonywa Ngao ya JAMII hawakuwepo?? Wewe huujui Mpira unaongea kishabiki. Jumapili sio mbali subir uone burudani.
 
Kwenye clip ya mazoezi yanaendelea, wachezaji wote wameonekana kasoro Aziz ki tu sijamuona. Hana majeraha kweli?
 
Huyo Njegele, Aziza na Pocono kule Tanga wakati Utopolo anapokonywa Ngao ya JAMII hawakuwepo?? Wewe huujui Mpira unaongea kishabiki. Jumapili sio mbali subir uone burudani.
Huko Tanga mlishinda Ngapi? Vp mlipata hata Shots on Target? Au unajitoa akili tu?
 
Ukiacha kupiga faulo na kupiga shuti kipi Azizi anasaidia kwa timu cha ziada kuanzia kutoa pass saidizi za magoli au kutengeneza nafasi?
Assist za magoli ya Mayele alitoaga nani? Kule Tanga bila mbeleko ya refa kukataa goli mbili mngeponaje?
 
Simba imecheza na akina Kahraba na Perci Tau bila kuwakamia, eti omkamie Nzengeli? Mfumo utawakamia, wote watabadilika kuwa

Washndwe kukamiwa akina perc tau aje kukamiwa eti max,,,kwani tanga hao si walikuwepo walifanya nin zaidi ya kuzungusha shanga uwanjani
 
Ukiacha kupiga faulo na kupiga shuti kipi Azizi anasaidia kwa timu cha ziada kuanzia kutoa pass saidizi za magoli au kutengeneza nafasi?
Hizo set pieces na shot on target ni threat tosha kwa timu pinzani, waulize makipa wa ligikuu shughuli yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…