CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Yote 9 Ila yule Yao watani mmepata mtu
Tuone kapombe new challenge hii
Wewe ni mnafiki sana sasa hivi Mayele na Nabi wamekua wazuri baada ya kuondoka? nani asie jua chuki zako kwa Aziz Ki kesho aliondoka una badili maneno una tabia za kimalayaMuda bado sana watu kuanza kukuelewa.
Leo kila mtu kapiga yowe kwenye banda umiza huku wengine wakienda mbali kumzomea Feisali.
Hakuna aliyekumbuka nafasi ya Mayele wakati wanaongoza.
Hakuna aliyemtaja Nabi.
A time will come hayo majina yatatajwa n huyu Azizi Ki wa leo atasahaulika.
Kwani huyu Mzize si aliwahi kuitwa Haaland na kumbukumbu humu bado zipo?
Lakini ile Mechi ya second leg na Rivers kila mtu alimkataa.
Hivi viwango vya graph ambavyo havina consistency huwa vinakawaida ya kukupa temporary joy so msijisahau.
Hafidh konkon ndio mbadala wa mayele,konkon na zouzoua ambaye ndie mvp wa msimu uliopita wa ligi ya ivory coast leo awakua sawa kiafyaNilichokizungumza ni kwamba yanga anaweza kuishi bila mayele lakini pia haiwezi kumtegemea Musonda kama Namba 9 ili atufikishe tunapohitaji
Maana sio kwamba yanga atacheza Ligi pekee bado anamashindano ya kufuzu kuingia makundi CAFCL huwezi kua na stricker kama Musonda wa kimataifa ambae pekee yake ili uweze kuendelea hatua zinazofuata labda tukimuona Konkoni nilichokiandika hapo tunaweza kupata jibu
Huwezi kumhukumu kwa mechi hii moja lakini inakupa picha kilichombele yako kuhisi hii perfomance yake ambae yeye ndio amechaguliwa kuchukua nhaafasi ya mayele
Anahitaji juhudi sana kutukosoa sisi mashabiki
Mayele na kibu 😀Hakuna mchezaji pale.
Yanga Huwa wanafananisha sana
1.Azizi ki na chama.. wameshindwa.
2. FEISAL na chama ... Wameshindwa.
3.JUMA Shaban na Kapombe.. wameshindwa.
4. Lomalisa na shabalala wameshindwa...
5. Son utasikia Max na chama.
UTOPOLO PUMEFU SANA
Kwamba angekua mayele ndio angefunga hizo nafas tulizokosa, hv mbona kila mtu ikitokea nafas anamtaja mayele mkumbuke mayele amefunga goal 17 tu kati ya 67 tulofunga msimu huu... Mayele alikua kipenz chetu ila magoli kakosa sana tuKatika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji
Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda kuchukua mipira pembeni mara nyingi Yao na Lomalisa walikua wakipiga cross lakini ziliokoloewa na mabeki wa azam kirahisi eneo la umaliziaji lilikua lipo wazi kabsa
Tukimsubiri musonda awe topscorer kwa uchezaji huu sidhani kama atatufikisha tunapohitaji
Labda kwa vile hatujamuona Konkoni tukipata finisher mzuri akabadili nafasi za wing back kuwa magoli tutafunga goli nyingi msimu huu.
Max zengeli ni mchezaji mzuri sana lakini kwa nilivomuona anafiti kama namba 10 sio namba 7 maana kuna nafasi kama mbili au tatu kapata lakini mawazo yake ni kutoa pass sio kufunga mwalimu anahaja ya kuliona hilo pia.
Ngushi ana kitu lakini anapresha ya kuperform kitamgharimu sana.
Yao mtu sana uyu atatusaidia sana msimu huu ana kasi ya kupanda na kushuka na kupiga pass kwa mhusika kwa uhakika.
Tukutane mtani usikimbie fainali.
Mkuu hao soon watapotea humu mitandaoni na ukiwaona basi ujue watakuja na lawama za marefa,kocha wao kwanini ampangi mchezaji flan,wataimba hadi kuimba kama walivyomuimba matola awaachie timu yao,hii ligi ndio ishaanza wataanza kutamba kipindi cha usajili msimu ujao na kolo day watajaa km wote hio ndio furaha yaoWewe ni mnafiki sana sasa hivi Mayele na Nabi wamekua wazuri baada ya kuondoka? nani asie jua chuki zako kwa Aziz Ki kesho aliondoka una badili maneno una tabia za kimalaya
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tulieni,mechi moja tu mmeanza kukosoaaaa! Mpira unahitaji muda.Katika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji
Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda kuchukua mipira pembeni mara nyingi Yao na Lomalisa walikua wakipiga cross lakini ziliokoloewa na mabeki wa azam kirahisi eneo la umaliziaji lilikua lipo wazi kabsa
Tukimsubiri musonda awe topscorer kwa uchezaji huu sidhani kama atatufikisha tunapohitaji
Labda kwa vile hatujamuona Konkoni tukipata finisher mzuri akabadili nafasi za wing back kuwa magoli tutafunga goli nyingi msimu huu.
Max zengeli ni mchezaji mzuri sana lakini kwa nilivomuona anafiti kama namba 10 sio namba 7 maana kuna nafasi kama mbili au tatu kapata lakini mawazo yake ni kutoa pass sio kufunga mwalimu anahaja ya kuliona hilo pia.
Ngushi ana kitu lakini anapresha ya kuperform kitamgharimu sana.
Yao mtu sana uyu atatusaidia sana msimu huu ana kasi ya kupanda na kushuka na kupiga pass kwa mhusika kwa uhakika.
Tukutane mtani usikimbie fainali.
Pumbafu zako huna akiliHakuna mchezaji pale.
Yanga Huwa wanafananisha sana
1.Azizi ki na chama.. wameshindwa.
2. FEISAL na chama ... Wameshindwa.
3.JUMA Shaban na Kapombe.. wameshindwa.
4. Lomalisa na shabalala wameshindwa...
5. Son utasikia Max na chama.
UTOPOLO PUMEFU SANA
yani wanafosi sana tuone kama bila mayele/nabi haiwezekaniMnapomjadili mtu ambae keshaondoka kwenye timu sijui mnakuwa na mawazo gani, Mayele keshaondoka atuwezi kuendelea kumjadili yanga anatumia rasilimali alizonazo na zitampa matokeo, kufupi unasubilia mkate chini ya muembe na yanga ndiyo imeanza ivyo kusonga mbele usitegemee kuishusha kwa mawazo yako uliyonayo kichwani mwako, kadri siku zinavyokwenda wenzako wanazidi kuwa na muunganiko thabiti ivyo basi endelea kujifariji na mbumbumbu wenzako
Mayele yupo kwenye documentary kama mnataka mkamuone huko sisi tunafikiria yajayo zaidi kuliko yaliyopitaKumjadili hakuwezi kuisha kutokana na legacy aliyoiacha.
Kila mchezaji ambaye amefanya vizuri na kuondoka basi watu lazima wapime uwezo wa huyo mbadala anayecheza kwenye hiyo nafasi, je anaweza kuziba gape au kufanya makubwa zaidi?
Sawa kama Yanga ndio imeanza kusonga mbele basi ni habari njema kwenu.
Ila ngoja muda utaongea
Tulia wewe!!Muda bado sana watu kuanza kukuelewa.
Leo kila mtu kapiga yowe kwenye banda umiza huku wengine wakienda mbali kumzomea Feisali.
Hakuna aliyekumbuka nafasi ya Mayele wakati wanaongoza.
Hakuna aliyemtaja Nabi.
A time will come hayo majina yatatajwa n huyu Azizi Ki wa leo atasahaulika.
Kwani huyu Mzize si aliwahi kuitwa Haaland na kumbukumbu humu bado zipo?
Lakini ile Mechi ya second leg na Rivers kila mtu alimkataa.
Hivi viwango vya graph ambavyo havina consistency huwa vinakawaida ya kukupa temporary joy so msijisahau.
Naamini hata ungenifuma nipo juu ya kifua cha mkeo usingeongea kwa jazba kama hapa ulivyoandika.Wewe ni mnafiki sana sasa hivi Mayele na Nabi wamekua wazuri baada ya kuondoka? nani asie jua chuki zako kwa Aziz Ki kesho aliondoka una badili maneno una tabia za kimalaya
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna lugha rahisi kwa mtu mpumbavu na mbumbumbu kama wewe yaani siku ile Nabi kusema haja ridhishwa na form ya Aziz Ki ndio ndio umekukaa kama chupi! huko ukoloni wachezaji wenu hua wapo form kila siku? Ujuaji mwingi akili hunaNaamini hata ungenifuma nipo juu ya mkeo usingeongea kwa jazba kama hapa ulivyoandika.
Una makasiriko ya kitoto hata wanawake hawapo hivyo, mpaka naanza kufikiria probably ushawahi fanyiwa ukatili angali mdogo so uko damaged mentality. If that case then you need immediately counseling.
Nishawahi kukupa rejea ya kauli ya Nabi akizungumza kuhusu ubovu wa Azizi Ki kama ambavyo mimi nasema ila kwasababu ubongo wako ushakuwa rotten hujawahi kum accuse Nabi kuwa anachuki na Azizi Ki.
Nabi kamsema mara moja Azizi Ki?Hakuna lugha rahisi kwa mtu mpumbavu na mbumbumbu kama wewe yaani siku ile Nabi kusema haja ridhishwa na form ya Aziz Ki ndio ndio umekukaa kama chupi! huko ukoloni wachezaji wenu hua wapo form kila siku? Ujuaji mwingi akili huna
N:b nikikufumania na mke wangu sheria ya mtaa unajiua sina haja ya kuku elezea
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ngushi anahitaji spana na kupunguza uchu wa puuu!Ngushi ana kitu Gani sasa?
Huna tofauti na malaya wa kimkokaNabi kamsema mara moja Azizi Ki?
Nabi kaanza kumsema Azizi Ki kuanzia kwenye game yenu na Rhino Rangers ambayo mlishinda 7.
Nabi alisema kwa sasa Azizi Ki ni mchezaji wa dakika 40 tu, zaidi ya hapo hafai kuendelea.
Tuje kwenye game yenu na Monastir napo Nabi alitoa kauli kuwa kuwa Azizi Ki sio mchezaji tegemezi na ndio maana anaanzia benchi. Na baadaye alimtetea kuwa anaendelea kumpa muda wa kuzidi ku recover.
Njoo kwenye game yenu na Bamako napo Nabi alisema Azizi Ki ameshuka ubora hivyo hapaswi kumtumia sana kwenye mfumo wake.
Na kwenye game hiyo hadi mchambuzi baada ya mechi aliendelea kusema Azizi Ki alikuwa kama msafiri tu ambaye hajui anaenda wapi
Nabi akisema madhaifu ya Azizi Ki unakausha kama huoni. Niseme mimi unaniita hater.
NB: if you caught me on top of your wife I can bend you too like matherfck rainbow
Well saidKwaiyo yanga wabaki kufikiria legacy aliyoacha mayele? Yanga alicheza FA na akashinda bila mayele, leo kacheza ngao na kashinda bila uyo mayele unaemuota, Wachezaji wengine wamesajiliwa na maisha yanaendelea uyo namba 9 unaemsema yupo keshasajiliwa but uwezi kukurupuka tu unampanga kwenye timu wakati alichelewa kujiunga na wenzake kupata maandalizi ya pamoja
Sasa mkuu kapombe anaingiaje hapa wakati umri ushamkataa tayar?Yote 9 Ila yule Yao watani mmepata mtu
Tuone kapombe new challenge hii