Yanga tunahitaji namba 9

Yanga tunahitaji namba 9

Kwaiyo ulitaka yanga wasiendelee na mipango mingine bali wabaki kumuimba mayele tu? Mayele kaondoka na watakuja wengine waendelee alipoishia, kwani kabla ya mayele walipita washambuliaji wangapi wakali pale yanga? Je walipoondoka yanga ilikufa? Kabla ajaja yanga uyo mayele ulikuwa unamfahamu? Mambo mengine ayahitaji mjadala usiokuwa na kichwa wala miguu, Yanga alicheza FA akashinda bila mayele, Leo yanga kacheza ngao na kashinda bila mayele!! Unapataje nguvu ya kusema yanga bila mayele aiwezi kufanikiwa?
Achana nao mkuu, hawajitambui.
 
Musonda katuangusha saana leo, yamkini tukatemana nae January.
 
endeleeni kulala.siku mkija kula 5 ndo mtajua timu yenu mbovu.
 
Katika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji

Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda kuchukua mipira pembeni mara nyingi Yao na Lomalisa walikua wakipiga cross lakini ziliokoloewa na mabeki wa azam kirahisi eneo la umaliziaji lilikua lipo wazi kabsa

Tukimsubiri musonda awe topscorer kwa uchezaji huu sidhani kama atatufikisha tunapohitaji

Labda kwa vile hatujamuona Konkoni tukipata finisher mzuri akabadili nafasi za wing back kuwa magoli tutafunga goli nyingi msimu huu.

Max zengeli ni mchezaji mzuri sana lakini kwa nilivomuona anafiti kama namba 10 sio namba 7 maana kuna nafasi kama mbili au tatu kapata lakini mawazo yake ni kutoa pass sio kufunga mwalimu anahaja ya kuliona hilo pia.

Ngushi ana kitu lakini anapresha ya kuperform kitamgharimu sana.

Yao mtu sana uyu atatusaidia sana msimu huu ana kasi ya kupanda na kushuka na kupiga pass kwa mhusika kwa uhakika.

Tukutane mtani usikimbie fainali.
Yanga inahitaji iangalie mtu kumpeleka pale mbele atakayekua anafanya final touches.
Musonda mwenye inastahili atulie kati ile anateremshiwa mipira tu, sijui kwanini anapenda kutokea pembeni. Huwa akitokea kati huonekana kuwa na madhara, lakini kila atokeapo pembeni, akifanikiwa kuingia kati unaona malengo hupotea
 
Nabi kamsema mara moja Azizi Ki?

Nabi kaanza kumsema Azizi Ki kuanzia kwenye game yenu na Rhino Rangers ambayo mlishinda 7.

Nabi alisema kwa sasa Azizi Ki ni mchezaji wa dakika 40 tu, zaidi ya hapo hafai kuendelea.

Tuje kwenye game yenu na Monastir napo Nabi alitoa kauli kuwa kuwa Azizi Ki sio mchezaji tegemezi na ndio maana anaanzia benchi. Na baadaye alimtetea kuwa anaendelea kumpa muda wa kuzidi ku recover.

Njoo kwenye game yenu na Bamako napo Nabi alisema Azizi Ki ameshuka ubora hivyo hapaswi kumtumia sana kwenye mfumo wake.

Na kwenye game hiyo hadi mchambuzi baada ya mechi aliendelea kusema Azizi Ki alikuwa kama msafiri tu ambaye hajui anaenda wapi

Nabi akisema madhaifu ya Azizi Ki unakausha kama huoni. Niseme mimi unaniita hater.

NB: if you caught me on top of your wife I can bend you too like matherfck rainbow
Sisi tunaangalia current perfomance ya mchezaji na sio kukariri jambo, Jana kacheza vizuri ndio maana tunampa credit na akikosea tutamkosoa maana mchezaji sio jiwe kusema ya kwamba awezi kubadilika na kurudi kwenye form yake, wewe unachokiongea ni kama vile Aziz ki sio mchezaji mzuri miaka yote kitu ambacho sio kweli, wachezaji nao uwa wanapitia kipindi kigumu kutokana na sababu mbalimbali but class yake aiondoki inabaki pale pale akirudi anarudi kweli sio masihara
 
Huyo jamaa ni hater alianza na Mayele kila kitu anakosoa akaja kwa Aziz Ki hata afanye nini atatafta sababu aonekame mbovu sasa hivi amehamia kwa Skudu, na alivyo mnafiki eti leo anajifanya anawakubali Nabi na Mayele

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Makolo tunayajua hapa jf wala ayatusumbui na uyo tunamjua vizuri tu isipokuwa tunampunguzia mzigo wa maumivu kwa kumuelewesha kiungwana asije akajinyonga
 
Katika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji

Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda kuchukua mipira pembeni mara nyingi Yao na Lomalisa walikua wakipiga cross lakini ziliokoloewa na mabeki wa azam kirahisi eneo la umaliziaji lilikua lipo wazi kabsa

Tukimsubiri musonda awe topscorer kwa uchezaji huu sidhani kama atatufikisha tunapohitaji

Labda kwa vile hatujamuona Konkoni tukipata finisher mzuri akabadili nafasi za wing back kuwa magoli tutafunga goli nyingi msimu huu.

Max zengeli ni mchezaji mzuri sana lakini kwa nilivomuona anafiti kama namba 10 sio namba 7 maana kuna nafasi kama mbili au tatu kapata lakini mawazo yake ni kutoa pass sio kufunga mwalimu anahaja ya kuliona hilo pia.

Ngushi ana kitu lakini anapresha ya kuperform kitamgharimu sana.

Yao mtu sana uyu atatusaidia sana msimu huu ana kasi ya kupanda na kushuka na kupiga pass kwa mhusika kwa uhakika.

Tukutane mtani usikimbie fainali.
Mpria wa zamani sana huo na mtachelewa sana kwasababu mpira wa sasa viungo ndio wafungaji huo mpira wa kutegemea striker umepitwa na wakati.
 
mama yangu anahusika nini hapa? Huwezi kuongea man to man mpaka ulete issue za kutukaniana wazazi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
It wasn't my intention kuandika vile na ndio maana after couple minutes nikai delete

Ila kuna muda inanilazimu kwasababu you niggas take my kindness as weakness and that's bullshit.

Mna ni harrass kwa kutumia lugha chafu na mmekuwa mkifanya hivi kwakua tu nimekuwa nikiwanyamazia.

Hukuanza na lugha ya kistaarabu, mi huwa naponda kwa kutania ila always huwa situmii matusi kama ambavyo wewe ulianza kuni Quote kwa matusi.

Braza huyu jamaa akili ndogo sn (low iq).... achana nae, we're the winner of all time, hupaswi kubishana na wanyonge
 
Leo angekuwa mtu mwenye uwezo kama wa Mayele, pasi za Max zingetendewa haki haswa.
 
Katika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji

Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda kuchukua mipira pembeni mara nyingi Yao na Lomalisa walikua wakipiga cross lakini ziliokoloewa na mabeki wa azam kirahisi eneo la umaliziaji lilikua lipo wazi kabsa

Tukimsubiri musonda awe topscorer kwa uchezaji huu sidhani kama atatufikisha tunapohitaji

Labda kwa vile hatujamuona Konkoni tukipata finisher mzuri akabadili nafasi za wing back kuwa magoli tutafunga goli nyingi msimu huu.

Max zengeli ni mchezaji mzuri sana lakini kwa nilivomuona anafiti kama namba 10 sio namba 7 maana kuna nafasi kama mbili au tatu kapata lakini mawazo yake ni kutoa pass sio kufunga mwalimu anahaja ya kuliona hilo pia.

Ngushi ana kitu lakini anapresha ya kuperform kitamgharimu sana.

Yao mtu sana uyu atatusaidia sana msimu huu ana kasi ya kupanda na kushuka na kupiga pass kwa mhusika kwa uhakika.

Tukutane mtani usikimbie fainali.
hili tatizo kubwa sana yan, hatuna mmaliziaji, hawa wachezaji wa kibongo siyo wa kuwaamn, Leo atacheza vizuri kesho utamkataa, type Mzize, Ambundo, Ngushi nk
 
Yanga usajili mdogo inatakiwa iingie sokoni haraka iwezekanavyo
 
Back
Top Bottom