Kwaiyo ulitaka yanga wasiendelee na mipango mingine bali wabaki kumuimba mayele tu? Mayele kaondoka na watakuja wengine waendelee alipoishia, kwani kabla ya mayele walipita washambuliaji wangapi wakali pale yanga? Je walipoondoka yanga ilikufa? Kabla ajaja yanga uyo mayele ulikuwa unamfahamu? Mambo mengine ayahitaji mjadala usiokuwa na kichwa wala miguu, Yanga alicheza FA akashinda bila mayele, Leo yanga kacheza ngao na kashinda bila mayele!! Unapataje nguvu ya kusema yanga bila mayele aiwezi kufanikiwa?