CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Yote 9 Ila yule Yao watani mmepata mtu
Tuone kapombe new challenge hii
Hakuna mchezaji pale.
Yanga Huwa wanafananisha sana
1.Azizi ki na chama.. wameshindwa.
2. FEISAL na chama ... Wameshindwa.
3.JUMA Shaban na Kapombe.. wameshindwa.
4. Lomalisa na shabalala wameshindwa...
5. Son utasikia Max na chama.
UTOPOLO PUMEFU SANA