Yanga tunahitaji namba 9

Achana nao mkuu, hawajitambui.
 
Musonda katuangusha saana leo, yamkini tukatemana nae January.
 
endeleeni kulala.siku mkija kula 5 ndo mtajua timu yenu mbovu.
 
Yanga inahitaji iangalie mtu kumpeleka pale mbele atakayekua anafanya final touches.
Musonda mwenye inastahili atulie kati ile anateremshiwa mipira tu, sijui kwanini anapenda kutokea pembeni. Huwa akitokea kati huonekana kuwa na madhara, lakini kila atokeapo pembeni, akifanikiwa kuingia kati unaona malengo hupotea
 
Sisi tunaangalia current perfomance ya mchezaji na sio kukariri jambo, Jana kacheza vizuri ndio maana tunampa credit na akikosea tutamkosoa maana mchezaji sio jiwe kusema ya kwamba awezi kubadilika na kurudi kwenye form yake, wewe unachokiongea ni kama vile Aziz ki sio mchezaji mzuri miaka yote kitu ambacho sio kweli, wachezaji nao uwa wanapitia kipindi kigumu kutokana na sababu mbalimbali but class yake aiondoki inabaki pale pale akirudi anarudi kweli sio masihara
 
Huyo jamaa ni hater alianza na Mayele kila kitu anakosoa akaja kwa Aziz Ki hata afanye nini atatafta sababu aonekame mbovu sasa hivi amehamia kwa Skudu, na alivyo mnafiki eti leo anajifanya anawakubali Nabi na Mayele

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Makolo tunayajua hapa jf wala ayatusumbui na uyo tunamjua vizuri tu isipokuwa tunampunguzia mzigo wa maumivu kwa kumuelewesha kiungwana asije akajinyonga
 
Mpria wa zamani sana huo na mtachelewa sana kwasababu mpira wa sasa viungo ndio wafungaji huo mpira wa kutegemea striker umepitwa na wakati.
 
mama yangu anahusika nini hapa? Huwezi kuongea man to man mpaka ulete issue za kutukaniana wazazi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
It wasn't my intention kuandika vile na ndio maana after couple minutes nikai delete

Ila kuna muda inanilazimu kwasababu you niggas take my kindness as weakness and that's bullshit.

Mna ni harrass kwa kutumia lugha chafu na mmekuwa mkifanya hivi kwakua tu nimekuwa nikiwanyamazia.

Hukuanza na lugha ya kistaarabu, mi huwa naponda kwa kutania ila always huwa situmii matusi kama ambavyo wewe ulianza kuni Quote kwa matusi.

Braza huyu jamaa akili ndogo sn (low iq).... achana nae, we're the winner of all time, hupaswi kubishana na wanyonge
 
Ni mtu na kaka yake๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Leo angekuwa mtu mwenye uwezo kama wa Mayele, pasi za Max zingetendewa haki haswa.
 
hili tatizo kubwa sana yan, hatuna mmaliziaji, hawa wachezaji wa kibongo siyo wa kuwaamn, Leo atacheza vizuri kesho utamkataa, type Mzize, Ambundo, Ngushi nk
 
hili tatizo kubwa sana yan, hatuna mmaliziaji, hawa wachezaji wa kibongo siyo wa kuwaamn, Leo atacheza vizuri kesho utamkataa, type Mzize, Ambundo, Ngushi nk

Yanga usajili mdogo inatakiwa iingie sokoni haraka iwezekanavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ