Logi
Member
- May 2, 2018
- 47
- 201
Katika uangaliaji wa mpira leo nimegundua kwamba yanga hatuwezi kumreplace mayele kirahisi lakini tunahitaji namba 9 mmaliziaji
Huwezi kufuta legency ya mayele kirahisi ivi Musonda anapenda kuchukua mipira pembeni mara nyingi Yao na Lomalisa walikua wakipiga cross lakini ziliokoloewa na mabeki wa azam kirahisi eneo la umaliziaji lilikua lipo wazi kabsa
Tukimsubiri musonda awe topscorer kwa uchezaji huu sidhani kama atatufikisha tunapohitaji
Labda kwa vile hatujamuona Konkoni tukipata finisher mzuri akabadili nafasi za wing back kuwa magoli tutafunga goli nyingi msimu huu.
Max zengeli ni mchezaji mzuri sana lakini kwa nilivomuona anafiti kama namba 10 sio namba 7 maana kuna nafasi kama mbili au tatu kapata lakini mawazo yake ni kutoa pass sio kufunga mwalimu anahaja ya kuliona hilo pia.
Ngushi ana kitu lakini anapresha ya kuperform kitamgharimu sana.
Yao mtu sana uyu atatusaidia sana msimu huu ana kasi ya kupanda na kushuka na kupiga pass kwa mhusika kwa uhakika.
Tukutane mtani usikimbie fainali.