Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mayele alipaswa awe ndo mfungaji bora. Inashangaza kabisa huyu George Mpole nani yupo nyuma yake? Ni hujuma zinafanyika ili ufungaji bora asipate Mayele.
Na ndiyo kisa cha TFF kutengeneza kombe baya ili tu tuchekwe.. hii yote ni sababu Karia ni Simba. Hizi ni hujuma. Kwa nini watufanyie hivi? Wanadhani tutakata tamaa. Hatupoi hatu boi. Tunadai haki ya ufungaji bora kwa mayele.
Hizi hujuma hazitawasaidia kitu hata kidogo.tutachukua makombe yote mpka mwaka 2050.