Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
MAKOLOKOLO FC HOYEEEEEEE [emoji16]Mayele alipaswa awe ndo mfungaji bora. Inashangaza kabisa huyu George Mpole nani yupo nyuma yake? Ni hujuma zinafanyika ili ufungaji bora asipate Mayele...
Uto mwenzio huyo mpe suport 🤣🤣Umeandika kama una uraibu wa ngada
Wote huko Yanga mko hivyo,chuo chenu cha kuzalisha wajinga kinafanya kazi sanaUmeandika kama una uraibu wa ngada
Hata wangetupa kopo Bado tungeshangilia maana tunashangilia ubingwa siyo kombeMayele alipaswa awe ndo mfungaji bora. Inashangaza kabisa huyu George Mpole nani yupo nyuma yake? Ni hujuma zinafanyika ili ufungaji bora asipate Mayele...
Mudi fc wamefurahi kweli Mayele kushindwa kuwa mfungaji bora! Yaani kwa sasa maumivu yote ya kuvuliwa na Yanga ubingwa wa ligi kuu, na ule wa kombe la shirikisho yamekwisha! Kwao habari ya mjini kwa sasa ni Mayele kushindwa kuwa mfungaji bora, na hiyo habari ya kombe!Hata wangetupa kopo Bado tungeshangilia maana tunashangilia ubingwa siyo kombe
Haloooo
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mkumbushe na mwingine anataka kuwaomba caf waanzie ugeniniWote huko Yanga mko hivyo,chuo chenu cha kuzalisha wajinga kinafanya kazi sana
Kg 800 anachekesha sanaMkumbushe na mwingine anataka kuwaomba caf waanzie ugenini
Naipenda Yanga ila nafurahi kiatu kuchukuliwa na Mpole kwa vile ni mmatumbi atasaidia Taifa stars. Si jambo la Mbolea kujenga wa jirani wakati wako wanateketea. Ligi inatakiwa kujenga Timu ya Taifa letu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] meza panadol, utakufaa bureeeee.Naipenda Yanga ila nafurahi kiatu kuchukuliwa na Mpole kwa vile ni mmatumbi atasaidia Taifa stars. Si jambo la Mbolea kujenga wa jirani wakati wako wanateketea. Ligi inatakiwa kujenga Timu ya Taifa letu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badoooo mbna unalia mapema hivi? Mwenzenu analalama huko hamumpi ushirikiano, weraaaaaaaahMudi fc wamefurahi kweli Mayele kushindwa kuwa mfungaji bora! Yaani kwa sasa maumivu yote ya kuvuliwa na Yanga ubingwa wa ligi kuu, na ule wa kombe la shirikisho yamekwisha! Kwao habari ya mjini kwa sasa ni Mayele kushindwa kuwa mfungaji bora, na hiyo habari ya kombe!
Hawa jamaa walistahili kabisa kuitwa mbumbumbu! Maana wamesahau hata kama amekosa hiyo nafasi, lakini bado atabakia kuwa shujaa wa timu yake pale mbele.
Maana bado huwezi kumlinganisha Mayele na washambuliajia wao John Bocco, Meddie Kagere, Cris Mugalu na pia Kibu Denis.