Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja yenye nguvu sana!
Haji Manara alivyo msanii, moyoni anacheka hana mbavu, usoni machozi yanatiririka!, Manara na utopolo wapi na wapj? Kilichopendwa hapo ni pesa za GSM tu!!