kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Ni "Thimba"! Lakini,cha ajabu wanatuzidi sisi vyura kwenye rankings za CAF!Inatesa NYOYO mnooo!
Ikikaa simba inatosha. Wacha Yanga iendelee tu kwa sasa kubeba makombe yote ya ndani.Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..
Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...
Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?
Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al Ahly
2. Mamelod Sundown
3. Esperance de Tunis
4. Rs Berkane
5. Simba
6. Pyramids
7. Zamalek
8. Wydad
9. Usm Algers
10. CR Belouizidad
11. Yanga
12. Al hilal
13. Asec Mimosa
14.l
Msimu wa 25/26 Yanga itafika fainali klabu bingwa Afrika na kuwa ya tatu.....Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..
Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...
Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?
Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al Ahly
2. Mamelod Sundown
3. Esperance de Tunis
4. Rs Berkane
5. Simba
6. Pyramids
7. Zamalek
8. Wydad
9. Usm Algers
10. CR Belouizidad
11. Yanga
12. Al hilal
13. Asec Mimosa
14.l
Wasipokuelewa hapa basi watakuwa na shida mahali.Ranking za caf Zinatokana na points ulizovuna miaka/misimu mitano iliyopita, Simba kimataifa amekua consistent Kwa miaka miaka mitano iliyopita, miaka minne yote kaingia robo fainali..... Na hata huu mwaka kavuna point nyingi maana japo shirikisho Lina point ndogo ila kaenda mpaka fainali...... Ni swala na muda tu yanga nae akajitahidi atafika huko maana wao wanaangalia miaka mitano tu ya nyuma, Ina maana hata Al ahly akifanya vibaya mfululizo baada ya miaka mitano anaweza kutokuwepo kwenye hio top 10, hawaangalia historia zaidi ya miaka mitano nyuma....
Jamaa zetu kila kitu ni mafanikio hata kuletewa Manzoki kwenye uchaguzi ni mafanikioIkikaa simba inatosha. Wacha Yanga iendelee tu kwa sasa kubeba makombe yote ya ndani.
Simba wanapendelewa/wanabebwa tu.Hawana "rorote"!Ndimi chura mwenye kwapa moja.
Hawa Arabs wamekaa pale juu 2029 wataenda FIFA CLUB WORLD CUP wakandwe honestly blacks huwa wanakomaa hawa Waarabu wajanja huku Afrika. Simba 2028 itakuwa Champion wa CAFCL Mangungu na Kanjibai hawatakuwepo tutakuwa na Boss anayeweka Pesa.Simba itakuwa na best players Kikombe kitakuja Tanzania ( Lakini kwenye ndoto)Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..
Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...
Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?
Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al Ahly
2. Mamelod Sundown
3. Esperance de Tunis
4. Rs Berkane
5. Simba
6. Pyramids
7. Zamalek
8. Wydad
9. Usm Algers
10. CR Belouizidad
11. Yanga
12. Al hilal
13. Asec Mimosa
14.l
Usikonde.Tutakirekebisha.Hivi kwanini Lkn mnakinanga kiswahili namna hii? ' Rorote' ndo nini?