ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
UBAYA UBWEGE, UBAYA UNAFIKI
Sisi yanga Fc tunasimama na striker la Dunia Mabululu, na nina uhakika tawi la timu yetu huko libya yaani ahly tripoli tunafuzu kuingia makundi ya confedaration , na makolo waliotuibia mchezaji wetu Kagoma wataenda kuipata pata kwa mabululu.
Natabiri mechi ya kwanza Simba anakufa 5 bila, mechi ya pili kwa mkapa ni suluhu, kwanza Tripoli haiwezi kufungwa na timu isiyo na muunganiko.
Tafadhali WanaYanga wenzangu angalieni clip za mabululu ambaye ataenda kumfunga my wetu kolo.