ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwani maamuzi tayari? Subiria then itafamika, Je kama Yanga akishinda hilo Shauri, timu anayo aliyo ichezea hiyo club itakuwa tayari kukatwa points?Mwanasheria wenu amepuyanga leo acha kutafuta kichaka.
Mwanasheria wa Fountain Gate Fc amesema aliwatuma Yanga barua ya kuwajulisha kuwa wamekuja mkataba, na Yanga haikujibu.
anasema silence means acceptance.
Watapigwa kama ngoma.UBAYA UBWEGE, UBAYA UNAFIKI
Sisi yanga Fc tunasimama na striker la Dunia Mabululu, na nina uhakika tawi la timu yetu huko libya yaani ahly tripoli tunafuzu kuingia makundi ya confedaration , na makolo waliotuibia mchezaji wetu Kagoma wataenda kuipata pata kwa mabululu.
Natabiri mechi ya kwanza Simba anakufa 5 bila, mechi ya pili kwa mkapa ni suluhu, kwanza Tripoli haiwezi kufungwa na timu isiyo na muunganiko.
Tafadhali WanaYanga wenzangu angalieni clip za mabululu ambaye ataenda kumfunga my wetu kolo.
Kwani hayo mashuti ya Mbali ni Kwa Uwezo wa Yesu Kristo?Jamaa anafunga goli za kawaida sana
Sijaona goli la uwezo binafsi zaidi ya mashuti ya mbali
Mashuti ya mbali yeyote anaweza kubahatisha.Kwani hayo mashuti ya Mbali ni Kwa Uwezo wa Yesu Kristo?
HayaMashuti ya mbali yeyote anaweza kubahatisha.
Mazezeta FCUBAYA UBWEGE, UBAYA UNAFIKI
Sisi yanga Fc tunasimama na striker la Dunia Mabululu, na nina uhakika tawi la timu yetu huko libya yaani ahly tripoli tunafuzu kuingia makundi ya confedaration , na makolo waliotuibia mchezaji wetu Kagoma wataenda kuipata pata kwa mabululu.
Natabiri mechi ya kwanza Simba anakufa 5 bila, mechi ya pili kwa mkapa ni suluhu, kwanza Tripoli haiwezi kufungwa na timu isiyo na muunganiko.
Tafadhali WanaYanga wenzangu angalieni clip za mabululu ambaye ataenda kumfunga my wetu kolo.
Upo sahihiWatanzania akili zetu zinaharibiwa na ushabiki wa hizi timu mbili. Lkn pia huu ushabiki unaaksi hulka na fikra zetu zilivyojaa uchawi na roho mbaya mioyoni mwetu.