Yanga tunasimama na Mabululu na Ahly Tripoli kiujumla

Nyie ni yanga au Young Africans, hebu weka sawa kwanza hili.
 
MABULULU KIBOKO YA MAKOLO, LAZMA KELELE ZA MANGUNGU ATOKE ZIREJEE
 
Huyu jamaa nimeangalia hela yake ya usajili kuja Tripoli 1.2m Euro, mshahara 600k USD miaka miwili. Japo sijawahi kuwaona Al Ahly Tripoli wakicheza ila kama wana uwezo wa kutoa kiasi hiki cha fedha,hii sio timu ya kubeza.
Angalua paroll ya Al Hilal pia. Wale wasudani
 
PIA NIMEAMBIWA HAWA WARABU WANAFITNA HATARI, YAANI LAZIMA SIMBA VYUMBA VYAO VIPULIZIWE DAWA WALALE ILI MABULULU AKAFANYE YAKE
 
Huyu jamaa nimeangalia hela yake ya usajili kuja Tripoli 1.2m Euro, mshahara 600k USD miaka miwili. Japo sijawahi kuwaona Al Ahly Tripoli wakicheza ila kama wana uwezo wa kutoa kiasi hiki cha fedha,hii sio timu ya kubeza.
Pesa hazichezi, vinginevyo AZAM ingeifunga APR
 
Sidhani kama Simba watafungwa goli 5 bali goli 3 tu. Marudiano kwa Mkapa itakuwa suluhu.

Simba mechi zake shirikisho ni mbili tu. Msaada wa Simba ilikuwa Chama ambae tunae utopoloni.

Yanga raha yetu ni kuona simba akichinjwa na kisu butu cha Mabululu!!

Ni kweli wenye akili uto ni watatu japo huko Simba yuko mmoja tu Rage!!
 
Pesa hazichezi, vinginevyo AZAM ingeifunga APR
Acha kukalili unazani kila timu ipo kama Azam,hujui fan base yao hao,maana mshabiki ni mchezaji wa kumi na mbili ambaye Azam hana.
 
Kiukweli Makolo hawavukii,Hawana Bekii Wala wamaliziajiiii....ivi Mabululuu aamue tufungee azuiwe na Kale kachemalonii Fondoo🤣🤣🤣nimekaa lee....ugeniniii wanakula 2.
 
Mimi ni Yanga damu damu lakini sikubaliani na ujinga huu. Nitaishangilia sana Simba na ninataka Simba ishinde kusudi Tanzania tuendelee kuheshimiwa kimataifa.

Msemaji wa Simba alipopigia kampeini kuwa goli halali la la Yanga dhidi ya mamelodi halikuwa goli kwa sababu kama lingekubaliwa basi Simba ingekosa pa kupumulia ulikuwa ni ujinga wake tu, ambao wengine wenye akili timamu hatuwezi kurithi.
 
Daaah, kweli dunia duara.
 
Tutawafunga sana na Huyo Mabuluu wenu
 
Hawa Biashara ya Musoma iliwahi kuwakanda Mbili hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…