Yanga tupeane majibu ya eneo la Kigamboni kabla ya Jangwani

Yanga tupeane majibu ya eneo la Kigamboni kabla ya Jangwani

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi?

Kwa maendeleo ya mpira.
 
Na kule Kigamboni ndio kuzuri kweli kuliko hapo Jangwani
 
Back
Top Bottom