Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
wapo kimya hata wachezaji wanaogopa basi wampe maua hata mama yao samia maana watendaji wake wamejitahidi kuwanyamazisha mashabiki.Hizo mechi zote mbili makipa ndio wapewe hizo hadhi maana naoka kilio kikianzia Ijumaa kuu hadi Jumamosi.
Mpira wa makelele na ukanjanja wa kibongo weekend ijayo patachimbika.
atakuwepo kweli?Dr. Kharid Aucho ni kuvaa kitabibu tu siku hiyo
Atakuwepo mkuu, ondoa shakaatakuwepo kweli?
MZIZE DAY na MGENI RASMI ni FREDI FUNGAFUNGAImeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali.
Kuanzia majuzi timu zote zilikuwa na press conference ya kutangaza viingilio vya uwanjani ila wamesahau kuhusu hii tamaduni ambayo tumeizowea tafadhali tuambieni mapema.
TUKUTANE 29/30,03,2024
seriously au yako tu..na mzize najua hawez kupata mechi kubwa kiasi ichi lbd auchoMZIZE DAY na MGENI RASMI ni FREDI FUNGAFUNGA