OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Huu mfumo wa 4:2:3:1 ni mfumo mbovu kwenye mashindano ya kimataifa yenye waamuzi wazuri na teknolojia ya VAR, Huo mfumo huzalisha offside nyingi pia unaruhusu mashambulizi ya pembeni, huu mfumo unafaa kitumika sana huku kwetu kwenye marefa wa kimakosa ya kibinadamu (marefa wabovu)
Siku zote huu mfumo huwa haufanikiwi kwa asilimia kubwa mbele ya mfumo wa 4:3:3 ambao ndio mfumo walioutumia CRB ndio maana waliweza kuwazuia yanga kila wanaporikaribia goli, pia huo mfumo unawawezesha mabeki kupata backup ya ulinzi.
Nadhani kocha Gamondi atakuwa amepata somo kwa kilichotokea jana hivyo basi atakuwa anaenda kwa tahadhari,
Tutegemee mambo makubwa