YANGA tupo IMARA tutafanya vizuri mechi zinazofuata sema mfumo ulituponza

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Huu mfumo wa 4:2:3:1 ni mfumo mbovu kwenye mashindano ya kimataifa yenye waamuzi wazuri na teknolojia ya VAR, Huo mfumo huzalisha offside nyingi pia unaruhusu mashambulizi ya pembeni, huu mfumo unafaa kitumika sana huku kwetu kwenye marefa wa kimakosa ya kibinadamu (marefa wabovu)

Siku zote huu mfumo huwa haufanikiwi kwa asilimia kubwa mbele ya mfumo wa 4:3:3 ambao ndio mfumo walioutumia CRB ndio maana waliweza kuwazuia yanga kila wanaporikaribia goli, pia huo mfumo unawawezesha mabeki kupata backup ya ulinzi.

Nadhani kocha Gamondi atakuwa amepata somo kwa kilichotokea jana hivyo basi atakuwa anaenda kwa tahadhari,


Tutegemee mambo makubwa
 
Mfumo huu huzalisha offside nyingi ..!
Jana hukuona offside ya opponent pass? Waamuzi wakijifanya hawaoni hizo offside utapigwa na mfumo wako iwe Tanzania au Algeria.
 
Ukija na mbinu fulani na wapinzani wako wanakuja na mbinu mbadala. Kubalini tu mlizidiwa uwezo fullstop.
 
Na bado hamjasema, wiki ijayo taabu iko palepale mpaka muipigie Simba saluti kuwa ni timu kubwa, pumbav.
simba timu kubwa kwenu huko bunju sio hapa dar...timu tunayoijua hapa dar ni yanga na azam kwa mbaaaali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…