Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Majina mengine si ya bahat mbaya.wengine wanajipa hayo majina kumbe yanasadifu walivyo.kweli wew chizi maarifa
Hadi babe yupo Yanga aisee, safiiiHawa mikia hawahitaji hata haya kesho kipigo kilikuwa hakikimbiliki
Hadi babe yupo Yanga aisee, safiii
Yaani baada ya kumkung'uta simba twende zetu Mlimani City kwenye ile show ya Clouds babe🥰Baby kesho suggest sehemu nzuri tukatulie na kula upepo wa bahari.
Yaani baada ya kumkung'uta simba twende zetu Mlimani City kwenye ile show ya Clouds babe[emoji3059]
I can't wait babe😍See you mamito!
Wataalamu wanasema Ushindi Upo bila shaka kabisa.