Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wachezaji wa Simba wote tumewafunga matofali miguuni. Kipa ndo mbaya zaidi amevalishwa miwani ya mbao. Mtaalamu katuambia hamna shida refa tu naye awe muelewa.
Hili pambano tumejipanga nalo sana wachezaji wamepikwa wakapikika vizuri sana kwa kutumia wataalam wa ndani na nje. Tuna uhakika Simba hatocheza mpira wake wa burudani. Sisi tunaenda kupiga kuua na kuponda ponda kabisa.