Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mbona kama wametupiga sound hawa watu wa Yanga. Walizindua chanel yao kwa mbwembwe ila mpaka sasa mbona hatuioni, au ni mimi ndio sijui namba ya chaneli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunasubili mrudi kutoka Dubai ndio tuweke wazimzee wa bwaksi utopolo og hebu tuambieni chanel namba ngapi?
Chaneli inawahusu msimbazi? Lakini uto tv hata enzi ya uongozi wa dismas ten ilikuwepo kwenye kishumbuzi cha azam upya wako uko wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunasubili mrudi kutoka Dubai ndio tuweke wazi
Vipi unataarifa mpya za manzoki?Chaneli inawahusu msimbazi? Lakini uto tv hata enzi ya uongozi wa dismas ten ilikuwepo kwenye kishumbuzi cha azam upya wako uko wapi
Au mnakazia yale aliosema haji mchapiwa mke manara uko utopoloni wenye akili ni wa3 tu?
Acha kuhamisha magori habu nijibu pale juuVipi unataarifa mpya za manzoki?
Huwa sipo interested sana na mambo ya nje ya uwanja mkuu. Football is all about uwanjani na kwa sasa Dar Young Africans itawanyanyasa sana Simba paka pale mtakapofanya usajili mzuri[emoji1][emoji1]Acha kuhamisha magori habu nijibu pale juu
Mbona swali langu limehusu uwanjani uto tv haihusiki na uwanja?Huwa sipo interested sana na mambo ya nje ya uwanja mkuu. Football is all about uwanjani na kwa sasa Dar Young Africans itawanyanyasa sana Simba paka pale mtakapofanya usajili mzuri[emoji1][emoji1]