mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila kufanya vizuri.Kwa ushahidi huo nawashauri Yanga hebu wajisikie aibu kidogo .Klabu ya TP Mazembe walikuwa kundi moja Na Yanga lakini ni TP Mazembe ndio Mabingwa wa Afrika huku Yanga wanahangaika Na Ndanda Na Mbeya city .