Yanga ubingwa wa Tanzania wa nini kama mashindano ya kimataifa huwezi

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila kufanya vizuri.Kwa ushahidi huo nawashauri Yanga hebu wajisikie aibu kidogo .Klabu ya TP Mazembe walikuwa kundi moja Na Yanga lakini ni TP Mazembe ndio Mabingwa wa Afrika huku Yanga wanahangaika Na Ndanda Na Mbeya city .
 
Washabiki wa Chaneta utawajua tuu. Arsenal imeshiriki UEFA mfululizo Mara ngapi na imechukua huo ubingwa mara ngapi? Huo ni mfano mdogo tuu. Au tutajie basi mbadala wa hiyo Yanga.

Ili ushiriki hilo kombe ulilolitaja ni lazima uwe bingwa Tanzania. Kama roho inawauma baneni miguu msiwe mnatupanulia ovyo ili tusichukue tena kombe muende nyinyi mkashiriki
 
Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila kufanya vizuri.Kwa ushahidi huo nawashauri Yanga hebu wajisikie aibu kidogo .Klabu ya TP Mazembe walikuwa kundi moja Na Yanga lakini ni TP Mazembe ndio Mabingwa wa Afrika huku Yanga wanahangaika Na Ndanda Na Mbeya city .
Kama bingwa tu hawezi kufua dafu kwenye mashindano ya Africa, vipi kuhusu wasio mabingwa??? Si itakua vichekesho kabisa
 
Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila kufanya vizuri.Kwa ushahidi huo nawashauri Yanga hebu wajisikie aibu kidogo .Klabu ya TP Mazembe walikuwa kundi moja Na Yanga lakini ni TP Mazembe ndio Mabingwa wa Afrika huku Yanga wanahangaika Na Ndanda Na Mbeya city .
Hivi kufika nane bora shirikisho sio mafanikio?kwani hiyo timu yako huwa inafika wapi acha chuki binafsi mbugila ww
 
Mwenye kuyaweza hayo mashindano ya kimataifa na atwae huo ubingwa wa Tanzania kwa haki. Tofauti na hapo sidhani kama kuko na namna yoyote ya kuibeba team fulani. Ili team ijulikane kuwa inaweza mashindano ya kimataifa haina budi kudhihirisha hilo kwa kuanza na kutwaa ubingwa wa Tanzania. Sidhani kama kuko na namna yoyote ya kuisaidia team isiyoweza kutwaa ubingwa wa Tanzania et kwamba yenyewe inayaweza mashindano ya kimataifa!!! Hicho kitakuwa ni kichekesho kikubwa ambacho kitakua kinapatikana hapa Tanzania tu.
 
Kwa hiyo unashauri wajifungishe mechi zilizobakia ili Simba awe bingwa?? Ninyi kipi cha maana ambacho mmeshakifanya??
Hahahahaah.... nadhani alieanzisha hii thread hakua na kazi akaona aji keep busy kwa kuandika hii mambo matokeo yake akajikuta anaandika thread iliyokosa kichwa na miguu!
 
Mwenye sifa ndio anashiriki.......mwenyezo nchini kisoka ni yanga.....acha kulialia.....bado points 2 tulia.
Uko sahihi japo hukuweka wazi umemaanusha nini uliposema mwenye sifa ndie ashiriki. Kwa alichomaanisha mtoa post ni kwamba Simba ndio iachiwe itwae ubingwa wa Tanzania et kwakua tu inayamudu mashindano ya kimataifa japo mimi binafsi sidhani kama hiyo ndio sifa ya kupata nafasi ya kushiriki mashindano ya kimataifa pia hakuna kigezo kilichonifanya nikajiridhisha kuwa Simba ndio inayaweza mashindano ya kimataifa.
 
Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila kufanya vizuri.Kwa ushahidi huo nawashauri Yanga hebu wajisikie aibu kidogo .Klabu ya TP Mazembe walikuwa kundi moja Na Yanga lakini ni TP Mazembe ndio Mabingwa wa Afrika huku Yanga wanahangaika Na Ndanda Na Mbeya city .
Hvi wewe ndo yule jamaa wa mwanza aliyekuwa anahojiwa jana na star tv?,nijibu tu halafu ntasema kitu
 
Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila kufanya vizuri.Kwa ushahidi huo nawashauri Yanga hebu wajisikie aibu kidogo .Klabu ya TP Mazembe walikuwa kundi moja Na Yanga lakini ni TP Mazembe ndio Mabingwa wa Afrika huku Yanga wanahangaika Na Ndanda Na Mbeya city .
Nadhani alieandika ni shabiki wa mke wa prison na african lyon
 
Yanga oneni aibu jamani nyie in jamvi la wageni TP Mazembe kawapitia kabeba ubingwa
 
Tshabalala anukia Jangwani, mtanyooka,mwaka huu tunachukua mara ya tatu tulichukue mazima
 
Kwa hiyo unashauri wajifungishe mechi zilizobakia ili Simba awe bingwa?? Ninyi kipi cha maana ambacho mmeshakifanya??
Wasianze kutuyeyusha walipe mishahara ya akina Kichuya la sivyo ametishia kuhamia airtel!
 
Mwenye kuyaweza hayo mashindano ya kimataifa na atwae huo ubingwa wa Tanzania kwa haki. Tofauti na hapo sidhani kama kuko na namna yoyote ya kuibeba team fulani. Ili team ijulikane kuwa inaweza mashindano ya kimataifa haina budi kudhihirisha hilo kwa kuanza na kutwaa ubingwa wa Tanzania. Sidhani kama kuko na namna yoyote ya kuisaidia team isiyoweza kutwaa ubingwa wa Tanzania et kwamba yenyewe inayaweza mashindano ya kimataifa!!! Hicho kitakuwa ni kichekesho kikubwa ambacho kitakua kinapatikana hapa Tanzania tu.
Basi waifunge African Lyon ili tuwape nafasi ya kushiriki kwenye international competitions
 
Back
Top Bottom