Yanga: Usajili wao kama wanaenda kucheza UEFA, Serikali iingilie kati

Kule kimataifa kina SOPU wanakaa benchi sasa jidanganyeni mna team na beki zenu zile za kuunga unga nipo nimekaa pale mje mnikamate.
 
Kule kimataifa kina SOPU wanakaa benchi sasa jidanganyeni mna team na beki zenu zile za kuunga unga nipo nimekaa pale mje mnikamate.
Beki za kuunga unga
Zimeruhusu magoli 7
Zimeruhusu clean sheets kibao
Zimefungwa mechi chache.

Beki za nguvu
Zimeruhusu magoli 13 ya kubugizwa
Zimebugizwa mechi kibao mpka na kina kagera sugar..

Kakojoe ulale kijana
 
Yule Choko wenu KABWILI usimsahau kwenye Kikosi hiko[emoji2]
 
Ushamba na ulimbukeni ni kitu kibaya sana, yaani mtu unajitoa ufahamu kama umekunywa maji ya chooni vile. Yaani kama una watoto wakisoma huu Utopolo watatamani bora wangekuwa yatima.
[emoji23][emoji23] kwa hiyo hapo ushatamani ungekua yatima maana kwa ulicho andika sioni tofauti yako na hao watoto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kusajili wa wachezaji wa nje ya Tanzania, sheria/kanuni inasema mwisho wangapi..!? Kama Yanga wamevunja sheria/kanuni hiyo wataadhibiwa na wahusika, ila kama hakuna sheria/kanuni iliyovunjwa, BASI WEW NI VUVUZERA KAMA VUVUZERA WENGINE
 
Subirini mcheze mechi zenu mbili muanze kazi yenu ya kupokea wanaume airport ndo mlichobakisha tu.
Kwa usajili huu MZITO...unaamini yanga haichukui ubingwa wa CAF?
 
Kule kimataifa kina SOPU wanakaa benchi sasa jidanganyeni mna team na beki zenu zile za kuunga unga nipo nimekaa pale mje mnikamate.
Kwa hiki kikosi hata mamelodi ana kaa
 
Beki za kuunga unga
Zimeruhusu magoli 7
Zimeruhusu clean sheets kibao
Zimefungwa mechi chache.

Beki za nguvu
Zimeruhusu magoli 13 ya kubugizwa
Zimebugizwa mechi kibao mpka na kina kagera sugar..

Kakojoe ulale kijana
Bado makolo wanasajili wachezaji walioshuka daraja[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…