Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule kimataifa kina SOPU wanakaa benchi sasa jidanganyeni mna team na beki zenu zile za kuunga unga nipo nimekaa pale mje mnikamate.Hawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa
Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]
11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra
Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]
Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
Kumbe team yetu inahitaji adija kyomboHatushindani wala hatuwaangalii Yanga wanafanya Nini hayo ni mambo ya kizamani, sisi tunaangalia timu inahitaji nini Ili ikawe timu shindani
Beki za kuunga ungaKule kimataifa kina SOPU wanakaa benchi sasa jidanganyeni mna team na beki zenu zile za kuunga unga nipo nimekaa pale mje mnikamate.
Yule Choko wenu KABWILI usimsahau kwenye Kikosi hiko[emoji2]Hawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa
Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]
11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra
Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]
Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
Sina hasira ila nakemea huu Utopolo unaojaza humu maana jukwaa limekuwa kama kilabu cha mataputapu.Mkuu.....hasira zann mlaumu mwamedi[emoji23][emoji23]
Na alisema aliacha wenzake tisa wa'jinsia'yake ileee.Yule Choko wenu KABWILI usimsahau kwenye Kikosi hiko[emoji2]
[emoji23][emoji23] kwa hiyo hapo ushatamani ungekua yatima maana kwa ulicho andika sioni tofauti yako na hao watoto wakeUshamba na ulimbukeni ni kitu kibaya sana, yaani mtu unajitoa ufahamu kama umekunywa maji ya chooni vile. Yaani kama una watoto wakisoma huu Utopolo watatamani bora wangekuwa yatima.
Page za vichaa hizi, usajili unakwenda vizuri sanaaaKimeumana upande wa pili[emoji23][emoji23]View attachment 2287211
Atulie Simba sio ya walala hoi kama KilomonWatu wamejaa sumu[emoji23][emoji23]View attachment 2287518
Kwani kusajili wa wachezaji wa nje ya Tanzania, sheria/kanuni inasema mwisho wangapi..!? Kama Yanga wamevunja sheria/kanuni hiyo wataadhibiwa na wahusika, ila kama hakuna sheria/kanuni iliyovunjwa, BASI WEW NI VUVUZERA KAMA VUVUZERA WENGINEHawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa
Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]
11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra
Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]
Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
Aliyefanikiwa kuchukua kombe la ligi na FA msimu huu? Sio kwamba yeye ndo alijifunza kutoka kwa aliyekuwa anayabeba misimu minne huko nyuma?Vp unamaanisha... hamtaki kujifunza kwa aliye fanikiwa?
Bado makolo wanasajili wachezaji walioshuka daraja[emoji23][emoji23]Beki za kuunga unga
Zimeruhusu magoli 7
Zimeruhusu clean sheets kibao
Zimefungwa mechi chache.
Beki za nguvu
Zimeruhusu magoli 13 ya kubugizwa
Zimebugizwa mechi kibao mpka na kina kagera sugar..
Kakojoe ulale kijana
Jibu zuri hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo hapo ushatamani ungekua yatima maana kwa ulicho andika sioni tofauti yako na hao watoto wake
Sent using Jamii Forums mobile app