Yanga: Usajili wao kama wanaenda kucheza UEFA, Serikali iingilie kati

Kwani kusajili wa wachezaji wa nje ya Tanzania, sheria/kanuni inasema mwisho wangapi..!? Kama Yanga wamevunja sheria/kanuni hiyo wataadhibiwa na wahusika, ila kama hakuna sheria/kanuni iliyovunjwa, BASI WEW NI VUVUZERA KAMA VUVUZERA WENGINE
Za chin chini naskia mwamedi kawakimbia. . Pigeni goti kwa GSM
 
Aliyefanikiwa kuchukua kombe la ligi na FA msimu huu? Sio kwamba yeye ndo alijifunza kutoka kwa aliyekuwa anayabeba misimu minne huko nyuma?
Kumbuka yanga Ina makombe 28 dhidi ya 22 ya makolo[emoji23][emoji23]
 
Sawa
 

Attachments

  • 1db4b8780bcb4b37b0caa51b86468535.mp4
    1,010.4 KB
Mna kelele mkifika Klabu Bingwa hatua ya pili nje, mnahamia shirikisho nako baada ya mechi moja ya mtoano nje, halafu mnarudi bongo na makelele yenu, mmesharidhika kuishi kimaskini.
Bila shaka unawasema makolo
 
Bilinganya,Kambale na uyo dada yao Joyce hao wote ni maboksi,amna kitu hiyo ni mizigo nenda youtube ukawaone wanavyo rukaruka.
 
Katika ligi ya Bara, ni wachezaji nane tu wa kigeni wanaoruhusiwa kuhusika katika mechi moja, yaani wanaocheza na wanaokaa benchi. Wengine wanatakiwa wakae jukwaani au wabaki hotelini
Kuna shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…