Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za chin chini naskia mwamedi kawakimbia. . Pigeni goti kwa GSMKwani kusajili wa wachezaji wa nje ya Tanzania, sheria/kanuni inasema mwisho wangapi..!? Kama Yanga wamevunja sheria/kanuni hiyo wataadhibiwa na wahusika, ila kama hakuna sheria/kanuni iliyovunjwa, BASI WEW NI VUVUZERA KAMA VUVUZERA WENGINE
HayaKumbuka yanga Ina makombe 28 dhidi ya 22 ya makolo[emoji23][emoji23]
SawaHawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa
Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]
11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra
Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]
Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
Sijakuelewa Dada mkubwa hebu rudia, naona umekuja kwa pupa mpaka umesahau kujipiga japo kopo la maji[emoji23][emoji23] kwa hiyo hapo ushatamani ungekua yatima maana kwa ulicho andika sioni tofauti yako na hao watoto wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa.. mkuu hebu punguza kupanicSijakuelewa Dada mkubwa hebu rudia, naona umekuja kwa pupa mpaka umesahau kujipiga japo kopo la maji
Siwezi kupanic Kwa mrembo na mlimbwende kama wewe.
Sina kawaida ya kuwakasirikia wadada warembo,ila wakikosea nawarudisha njia kuu.Anamaanisha una hasira
Ndio au ulitaka tumsajili yule Kambale mechi 46 goal 2?Sajili za kina kapama, kyombo
kwa ajili ya mechi mbili tu?Kosi la kimataifa
Ni nane(8)Katika ligi ya Bara, ni wachezaji nane tu wa kigeni wanaoruhusiwa kuhusika katika mechi moja, yaani wanaocheza na wanaokaa benchi. Wengine wanatakiwa wakae jukwaani au wabaki hotelini
Kuna shida?Katika ligi ya Bara, ni wachezaji nane tu wa kigeni wanaoruhusiwa kuhusika katika mechi moja, yaani wanaocheza na wanaokaa benchi. Wengine wanatakiwa wakae jukwaani au wabaki hotelini
Mtaweweseka sanaSina hasira ila nakemea huu Utopolo unaojaza humu maana jukwaa limekuwa kama kilabu cha mataputapu.