Yanga: Usajili wao kama wanaenda kucheza UEFA, Serikali iingilie kati

Kwa kili zako za kushikiwa na manara unadhan la liga wanaweza kufanya huo upumbavuu?ndo maana hapo kinye ...fc weny akili ni wawil tu
Kwan hukuona account ya LaLiga Santander....yenye blue tick kabisa...
Kweli wabongo tuna safari ndefu kuelewa
 
Kucheza UEFA wakati viper wanawakojolea goli mbili kavu dk ya kwanza tu tayari utopolo ushawekwa tena nyumbani kwenu ndio uwe na mawazo ya UEFA
Manara hakukosea kusema ukimtoa kikwete na baba ake mashabiki wa Yanga wote waliobaki hawana akili
 
Mkuu Sasa mechi ya kirafiki .....ulitaka tuikamie Kama ya muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…