Yanga: Usajili wao kama wanaenda kucheza UEFA, Serikali iingilie kati

Yanga: Usajili wao kama wanaenda kucheza UEFA, Serikali iingilie kati

Kusajili wagonjwa kama huyu ndiyo makelele yote haya
 

Attachments

  • 1660113463286.jpg
    1660113463286.jpg
    10.2 KB · Views: 8
Long time sijakuona kwenye uzi wa kimasihara......ebu katoe comment kule[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa

Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]

11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra

Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]

Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
Maisha yanaenda kasi sana
mpigwe tu
uefa hiyo labda mkacheze na mbuni fc
 
Utopolo walisajili kichaa, mgonjwa mahututi, mzee mstaafu na Vimbwengo wengine wakifikiri CAF ni sawa la ligi ya mbuzi....

Acha wanyooshwe kwanza, akili zitawakaa sawa
Muda bado mkuu...
 
Eeeh mpakamchengerwa kaingilia kati na usajili wenu msaidiwe kushinda kimataifa
 
Back
Top Bottom