Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlitiana ujinga kweliNilisema kikosi Ni kizuri...,nmekosa Mimi ..
Watakuita mchawi wakati mpira ni sawa na Hesabu tuMna kelele mkifika Klabu Bingwa hatua ya pili nje, mnahamia shirikisho nako baada ya mechi moja ya mtoano nje, halafu mnarudi bongo na makelele yenu, mmesharidhika kuishi kimaskini.
watakuwa wamekuelewa sasaHatushindani wala hatuwaangalii Yanga wanafanya Nini hayo ni mambo ya kizamani, sisi tunaangalia timu inahitaji nini Ili ikawe timu shindani
ndio tunaendelea..WANANCHI. Wanatamani league ianze leo
uliona mbaliSubirini mcheze mechi zenu mbili muanze kazi yenu ya kupokea wanaume airport ndo mlichobakisha tu.
mwamnyeto anaachia tuKule kimataifa kina SOPU wanakaa benchi sasa jidanganyeni mna team na beki zenu zile za kuunga unga nipo nimekaa pale mje mnikamate.
Mna kelele mkifika Klabu Bingwa hatua ya pili nje, mnahamia shirikisho nako baada ya mechi moja ya mtoano nje, halafu mnarudi bongo na makelele yenu, mmesharidhika kuishi kimaskini.
natumaini umeamka sasaMara paap CAF champions kolo mmepangwa na YANGA......najua huo ndio utakuwa mwisho wenu
Mpira wa yanga kama England wakienda world cup chali[emoji23][emoji23]
na umetimia tayarihuu ndio utabiri sasa
yuefa ya Tandale kwa bi Nyau[emoji23][emoji28]Nadhani sasa Yanga wanaenda UEFA
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko YangaHawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa
Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]
11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra
Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]
Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169