Yanga hapanaaaa, hayupooo.Target iwe kucheza magruop naona pia super league mtashiiriki kwa ajili ya Simba maana Simba hatuwezi kukubali Yanga asishiriki ila kuongeza mvuto imagine ikitokea Simba na Yanga kundi moja
Long time sijakuona kwenye uzi wa kimasihara......ebu katoe comment kule[emoji23][emoji23][emoji23]Yanga hapanaaaa, hayupooo.
Kwani timu zineshatajwa zitakazoshiriki?Yanga hapanaaaa, hayupooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Long time sijakuona kwenye uzi wa kimasihara......ebu katoe comment kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mtoto wa muhas huyo nasikia Daah ule mpussy ulivyotuna nimetamani nirudi chuo ghafla yani Huku mtaani hakuna vigori tenaMzigo unao niniwww.jamiiforums.com
NdyoooooohKwani timu zineshatajwa zitakazoshiriki?
Maisha yanaenda kasi sanaHawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa
Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]
11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra
Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]
Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
hahahahaKwa hiki kikosi hata mamelodi ana kaa
huu ndio utabiri sasaMna kelele mkifika Klabu Bingwa hatua ya pili nje, mnahamia shirikisho nako baada ya mechi moja ya mtoano nje, halafu mnarudi bongo na makelele yenu, mmesharidhika kuishi kimaskini.
mapema sana yaniKombe la CAF.....tunalileta bongo..mapema sana
Hahahah..umeamua kufukua kaburi sio?Maisha yanaenda kasi sana
mpigwe tu
uefa hiyo labda mkacheze na mbuni fc
Mmeliwa kimasihara, shwain.Muda bado mkuu...