Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Yanga wanapenda sana kuendesha timu yao kipropaganda... hadi kina mzee Mpili wanaonekana wana akili sana!!
YametimiaTutawaona uwanjani msimu wa mashindano ukianza, hizi mbwembwe zina kikomo.
πππ Eufa ya watotoHawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa
Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]
11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra
Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]
Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
Niliwaambia watazamaji huwa na hali mbaya kuliko wachezajiπππ
View attachment 2393572
Huna akiliHawa jamaa wanazofanya Sasa Ni sifa ...... Zimezidi viwango haiwezekani timu inasajili wachezaji proffesinal Sana kuzidi timu zote east Africa
Sisi Kama wadau wa michezo tunaomba Serikali inabidi iingilie kati, hivi hawa Yanga kwani wanaenda kucheza (UEFA) ?![emoji38]
11 - [emoji1110] Bernard Morrison
10 - [emoji1059] Stephan Aziz Ki
09 - [emoji1078] Fiston Mayele
08 - [emoji1254] Khalid Aucho
07 - [emoji1268] Razarus Kambole
06 - [emoji1060] Gael Bigirimana
05 - [emoji1241] Mwamnyeto
04 - [emoji1078] Yannick Bangala
03 - [emoji1078] Lomalisa
02 - [emoji1078] Djuma Shabani
01 - [emoji1159] Djigui Diarra
Sub ya Aziz Ki >>>> Feisal [emoji38]
Mi naona hakuna fair competition kwenye league
View attachment 2287169
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]UEFA ya makalio[emoji57][emoji57][emoji57]Mnisamehe Sana....nmekosa mm