Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah tumekosa penalt ila tumepata pointMnakosa penat
Tutawapa simba huyuMsuva akosa penalt kwa kupaisha juu mpira.
HayakuhusuMnakosa penat
halafu wewe!Nani kama yanga?
Achana nae mwanga huyoYeah tumekosa penalt ila tumepata point
Vitu gani?halafu wewe!
mimi nahisi kuna kitu katikati yetu
vitu vingi ninavyovipenda na wewe unavipenda!
Haya mawili tufute, yanabaki mangapi? Lazima tutaanza kusikia team mbeleko na timu hujuma. Hamchelewi kumtuhum kipa kuchukua rushwa ili aruhusu magori kwa lengo la kuihujum simba[emoji3] [emoji3] . akili zenu mwazijua wenyewekipa la stand fala sana
Hapana mkuu,Msuva ni mchezaji muhimu sana Yanga.Tutawapa simba huyu
Yaani hapa ndo utajua kuwa yanga hainamfungaji mmoja
Ha ha ha nikupe no yake?halafu wewe!
mimi nahisi kuna kitu katikati yetu
vitu vingi ninavyovipenda na wewe unavipenda!
Mkuu mimi roho yangu haimkubali kabisa nilimkubal na azam zenj the rest sijamkubaliHapana mkuu,Msuva ni mchezaji muhimu sana Yanga.
Namkubali zaidi akitokea benchi,hata kama tumefungwa 2-0 lazima tutabadili matokeo.