Yanga v/s Stand uwanja wa Taifa

Yanga v/s Stand uwanja wa Taifa

Mkuu mimi roho yangu haimkubali kabisa nilimkubal na azam zenj the rest sijamkubali
Daaaaah umenifanya nishangae sana,hadi wine imenipalia...teh

Umemjua lini Msuva mkuu? Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.
Tuanzie hapo...
 
Wa kidato kimoja, hafu tuko mtaa mmoja hapa
Unaona sasa jinsi mambo yaliyopangwa na mwenyezi Mungu yanavyokuwaga!
Binadamu hawezi kupindisha...!
Hebu nisaidie hiyo contact PM tafadhari..
 
Vitu gani?
Yaani kuna post nyingi sana huwa ninaghairi kucomment maana ninachokuwa nataka kucomment
nakuta tayari umeshani-comment-ia
Leo tena nakuja hapa nakuta unashabikia Yanga..
 
Daaaaah umenifanya nishangae sana,hadi wine imenipalia...teh

Umemjua lini Msuva mkuu? Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.
Tuanzie hapo...
Mkuu namjua msuva toka anasajiliwa bt imetokea tu simkubali cjui kwa nn
 
Mnakosa penat
kuna kipindi tulikuwa tunashinda sana magoli ya penatu (Msimu uliopita) hadi mkaanza kusema kuwa ati marefa wanatupendelea kwa kutupatia penati za kirahisi...

tumeona isiwe taabu! msimu huu tunajikosesha penati kimakusudi na bado mnalalamika...

hivi tufanye nini sasa ili mridhike?
 
Mkuu, umeamua kuwamaliza kabisa.
Leo wakijitahidi sana ni draw. Vinginevyo watakula kichapo kule Songea.
 
oyoooooooooooooo,yangaaaaa daima mbele ase kweli nimeamini.
 
Yaani kuna post nyingi sana huwa ninaghairi kucomment maana ninachokuwa nataka kucomment
nakuta tayari umeshani-comment-ia
Leo tena nakuja hapa nakuta unashabikia Yanga..
Kumbe! Pole mkuu!
 
Back
Top Bottom