Daaaaah umenifanya nishangae sana,hadi wine imenipalia...tehMkuu mimi roho yangu haimkubali kabisa nilimkubal na azam zenj the rest sijamkubali
[emoji12]Vitu gani?
Unaona sasa jinsi mambo yaliyopangwa na mwenyezi Mungu yanavyokuwaga!Wa kidato kimoja, hafu tuko mtaa mmoja hapa
Yaani kuna post nyingi sana huwa ninaghairi kucomment maana ninachokuwa nataka kucommentVitu gani?
Mkuu namjua msuva toka anasajiliwa bt imetokea tu simkubali cjui kwa nnDaaaaah umenifanya nishangae sana,hadi wine imenipalia...teh
Umemjua lini Msuva mkuu? Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.
Tuanzie hapo...
kuna kipindi tulikuwa tunashinda sana magoli ya penatu (Msimu uliopita) hadi mkaanza kusema kuwa ati marefa wanatupendelea kwa kutupatia penati za kirahisi...Mnakosa penat
Mkuu, umeamua kuwamaliza kabisa.kuna kipindi tulikuwa tunashinda sana magoli ya penatu (Msimu uliopita) hadi mkaanza kusema kuwa ati marefa wanatupendelea kwa kutupatia penati za kirahisi...
tumeona isiwe taabu! msimu huu tunajikosesha penati kimakusudi na bado mnalalamika...
hivi tufanye nini sasa ili mridhike?
Na huku Songea hatunaga ushemeji asee!Mkuu, umeamua kuwamaliza kabisa.
Leo wakijitahidi sana ni draw. Vinginevyo watakula kichapo kule Songea.
Kumbe! Pole mkuu!Yaani kuna post nyingi sana huwa ninaghairi kucomment maana ninachokuwa nataka kucomment
nakuta tayari umeshani-comment-ia
Leo tena nakuja hapa nakuta unashabikia Yanga..