Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mbumbu fc juzi pale kirumba alitokaje na mtibwa?Hii inaonyesha jinsi yanga ilivyoshuka. Yaani inaifunga Mtibwa tena wakiwa nyumbani alafu watu wanakenua na kufurahi kama kitu cha ajabu sana. Inasikitisha!
Hahahahahahaha atakua mpanda huyo
[emoji23] [emoji23] watazidi kuja ikiwa draw.
Na ndio matokeo ya mechi hayo. Kashatabiri pweza Joni[emoji23] [emoji23] watazidi kuja ikiwa draw.
Ahsante [emoji120] [emoji120] [emoji120]
na ndio wanachoombeaa[emoji23] [emoji23] watazidi kuja ikiwa draw.
Nini lakini Bablai. [emoji12]
Hapa ni ushindi kwenda mbele. Yanga Oyeeeeeh [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawana hamu na Yanga
Walijua tutakuwa mahututi miaka yote. Teh
Hawa wamatopeni akili zao wanazijua wao, kipindi cha malinzi walisema tulikuwa tunabebwa ameingia karia wakasema hamna wa kutubeba sasa hivi tena wanasema tunabebwa hawa watu ni taabu sanaWa mchangani hamkosekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app