Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hata ikitokea ndio game ilivyo na huwa ina matokeo matatu.
Kushinda, kushindwa na kutoka sare.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ikitokea ndio game ilivyo na huwa ina matokeo matatu.
Lazima nimnywe supu kama matokeo yakiwa tofauti [emoji23] [emoji23]Nini lakini Bablai. [emoji12]
Huyo pweza mchemshe tu tumywe supu sie.
Hehee.. Kauli za kujifariji tu hizi.Maiti imepiga chafya. Marehenu kanyoosha kidole. Shughuli ya mazishi inabidi isitishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani wanahuzunisha kweliHawa wamatopeni akili zao wanazijua wao, kipindi cha malinzi walisema tulikuwa tunabebwa ameingia karia wakasema hamna wa kutubeba sasa hivi tena wanasema tunabebwa hawa watu ni taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Utuletee na sie aiseeeLazima nimnywe supu kama matokeo yakiwa tofauti [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona Kaka.Hapa ni ushindi kwenda mbele. Yanga Oyeeeeeh [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Mtibwa wameshakaa.Wachezaji wa Mtibwa wanapasiana vyema kwenye lango la Yanga lakini wanashindwa kumalizia pale..namna gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananifanya nikumbuke ile kauli ya Rage. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa wamatopeni akili zao wanazijua wao, kipindi cha malinzi walisema tulikuwa tunabebwa ameingia karia wakasema hamna wa kutubeba sasa hivi tena wanasema tunabebwa hawa watu ni taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] [emoji120] [emoji120] tupo bana Bablai.
Nakazia.
Hahaaa mbumbu fc mkuuWananifanya nikumbuke ile kauli ya Rage. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ewaaaaaaaa.