Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watalia ujue.Ahsante Mkuu, upande wa pili hapakaliki usajili bilioni mbili, kambi uturuki halafu matokeo sisimizi aibu yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli aisee wapambane na hali zaoYawarudie wenyewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha walie hizo ni salamu kutoka timu ya wananchi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watalia ujue.
Hakika na huu moto hauzimwi.
Hivi sisi na wao lini tuwashushe chini mapema kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee, ni hatari mkuu wamenuna balaa, Goli lilivyoingia kwa Yanga wakaja hapa kama kumbikumbi...sasa hivi siwaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Wanapita Kimya kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee, ni hatari mkuu wamenuna balaa, Goli lilivyoingia kwa Yanga wakaja hapa kama kumbikumbi...sasa hivi siwaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafa aiseeee Mtani.Hahaha, nasikia kafa mutu huko
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaaaa. Kabisaaaaa.
Safi sanaKafa aiseeee Mtani.
Tumempa haki yake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaa. Kweli kabisa Kaka ake.