Sio lazima yeye aupende mpira.Trump mwenyewe haupendi mpira.Ni nchi gani duniani ishawahi kuwa na ratiba kama hii?? Ndio maana magufuli anaudharau mpira wetu
Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tuMm sijui lkn bila shaka unaumia Yanga ikishinda
Soo Mzee unalalamika kwan hiyo ratiba ulikua huijui...?? Acha wivu wa kike we shabiki wa mkiafcSijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
Kacheza game moja tu ya away dhidi ya mnyamaSio lazima yeye aupende mpira.Trump mwenyewe haupendi mpira.
Na pia hufatulii mpira, Yanga hajacheza match zote nyumbani
Afcon tu naenda mkuu ondoa wasiwasiMkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu
Sasa ilikuwaje useme match zote?Kacheza game moja tu ya away dhidi ya mnyama
mkuu si watafidia hizi mechi away, hapo ndio watakapo onja joto ya mikoani na wenyewe, mi nawachekiii nasema hiiiii subiriSijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
Ni muda tu tutayaona hayo je yatakuwa ya kweli ama ni vifo maana mtacheza mechi mfululizo awayYanga hachagui mkoa kokote kule anafyekelea mbali!
Si mimi nilosema hivo ni mkubwa LawrichSasa ilikuwaje useme match zote?
Mwanaume kusema Yanga wataonja joto la jiwe ni umama Hahaaaa just jokingmkuu si watafidia hizi mechi away, hapo ndio watakapo onja joto ya mikoani na wenyewe, mi nawachekiii nasema hiiiii subiri
Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu
Umeelewa nilichokiandika au umekurupika ukaamua kuandika kwa muhemko?Yanga yupo uwanja wa nyumbani. Mgeni hapo ni alliance au ulitakaje?
Hii ni Yanga vs Alliance ndio maana ipo dar
Ikiwa alliance vs yanga ndio tutaenda huko mnapotaka. Kwa sasa tuacheni tuwafundishe hawa wanafunzi mpira
Kanchi kadogo sana haka sioni ni wapi Yanga atajihisi ni mgeni! Kufungwa ni matokeo ya mpira wa miguu hayajali nyumbani au ugenini, kokote pale unaweza pigwa!Ni muda tu tutayaona hayo je yatakuwa ya kweli ama ni vifo maana mtacheza mechi mfululizo away
😂😂😂😂kisome ulichokiandika aisee hapo juu ila nyie yanga mrudigi na shule za kutokuwa na mihemkoKanchi kadogo sana haka sioni ni wapi Yanga atajihisi ni mgeni! Kufungwa ni matokeo ya mpira wa miguu hayajali nyumbani au ugenini, kokote pale unaweza pigwa!
Nimekurupa na kuandika kwa muhemko.Umeelewa nilichokiandika au umekurupika ukaamua kuandika kwa muhemko?
Ni nchi gani duniani ishawahi kuwa na ratiba kama hii?? Ndio maana magufuli anaudharau mpira wetu
Hawa jamaa huwa nawashangaa sana kutoa sababu ya nyumbani kama kigezo cha kushinda.Kanchi kadogo sana haka sioni ni wapi Yanga atajihisi ni mgeni! Kufungwa ni matokeo ya mpira wa miguu hayajali nyumbani au ugenini, kokote pale unaweza pigwa!
km wamecheza nyumban mfululizo basi na ugenini watakuja cheza mfululizo hvyohvyo maana idadi ya mechi ni sawa, shida iko wapi mkuu?Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu
Kweli Mkuu! Kufungwa ni popote pale hata iwe kwako! Msimu uliopita tulimpiga Azam pale kwake 2 - 1Hawa jamaa huwa nawashangaa sana kutoa sababu ya nyumbani kama kigezo cha kushinda.
Mm kwa Tanzania hapa nalia na viwanja tu