Yanga vs Alliance Fc

Unakumbuka ratiba ya msimu uliopita Simba walicheza game ngapi nyumbani kabla ya kuanza kwenda mikoani?
Sijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
 
Game ya Simba na Yanga, Yanga alikuwa away
 
81’ Mins | Yanga 2 - 0 Alliance FC

17’ Mins Makambo ( Yanga) Assist Ibrahim Ajib
24’ Mins Mrisho Ngasa (Yanga) Assist Ibrahim Ajib
 
Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu
Msimu wa mwaka juzi mlipocheza mechi saba mfululizo nyumbani hatukuona post za namna hii.
 
87’ Mins | Yanga 3 - 0 Alliance FC

17’ Mins Makambo ( Yanga) Assist Ibrahim Ajib
24’ Mins Mrisho Ngasa (Yanga) Assist Ibrahim Ajib
86’ Mins Ibrahim Ajib (Yanga)
 
90’ Mins | Yanga 3 - 0 Alliance FC

17’ Mins Makambo ( Yanga) Assist Ibrahim Ajib
24’ Mins Mrisho Ngasa (Yanga) Assist Ibrahim Ajib
86’ Mins Ibrahim Ajib (Yanga) Assist Deus Kaseke
 
FULL TIME| Yanga 3 - 0 Alliance FC

17’ Mins Makambo ( Yanga) Assist Ibrahim Ajib
24’ Mins Mrisho Ngasa (Yanga) Assist Ibrahim Ajib
86’ Mins Ibrahim Ajib (Yanga) Assist Deus Kaseke
 
90’ Mins | Yanga 3 - 0 Alliance FC

17’ Mins Makambo ( Yanga) Assist Ibrahim Ajib
24’ Mins Mrisho Ngasa (Yanga) Assist Ibrahim Ajib
86’ Mins Ibrahim Ajib (Yanga) Assist Deus Kaseke
Naona Ajibu wa msimu huu amezaliwa upya[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…